Wana Yanga SC tunamshukuru sana Kocha wetu wa makipa Manyika kwa 'Kutuzindulia' sababu ya kuwaambia watu kwanini hatutokuwa Mabingwa

Wana Yanga SC tunamshukuru sana Kocha wetu wa makipa Manyika kwa 'Kutuzindulia' sababu ya kuwaambia watu kwanini hatutokuwa Mabingwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
" Katika hili nikiwa kama Kocha wa Makipa wa Klabu ya Yanga niseme tu ukweli kwa jinsi Ratiba hii ilivyo hasa Kwetu Sisi Yanga hatutoweza kuwa na Maandalizi ya kutosha ya kutuwezesha Kubeba ama Ubingwa wa VPL au hata ule wa ASFC japo tutajitahidi Kupambana ila tusidanganyane Matumaini ni madogo Kwetu " amesema Peter Manyika.

Mimi kama Mwana Yanga SC ' Dam Dam ' kabisa nipende tu Kumwambia Kocha wetu wa Makipa Manyika kwamba yupo sahihi tena kwa 100% juu ya haya Malalamiko yake ya Kiufundi kwani huenda ni Klabu tu ya Yanga ndiyo yenye Mechi nyingi, Ratiba hii ngumu na inacheza hii Ligi ya VPL peke yake ila Vilabu vingine vyote vyenyewe hii Ratiba ya CORONA Kwao haijawakalia vibaya.

Wana Yanga SC Wenzangu huu sasa ni wakati wa Sisi Kuanza Kujiandaa Kisaikolojia kwani hatubebi tena VPL na hata lile la ASFC tena.
 
Bora wewe utopolo umejiongelea ukweli wa moyoni bila kuwa mnafiki hata kidogo. Kwa sasa mnatakiwa kujiandaa na msimu ujao kwa sababu kila nikiangalia mwenendo wenu naona giza tu.
 
Kombe hilo kwio! Hahahahahahahahahaha day wanaume wa Kinondoni bhana mnatutia aibu sana
 
Utopolo fc wamesainishwa "bogus" treaty na mabeberu wa Laliga ( Sevilla) [emoji23][emoji23][emoji23]

Chakushangaza tukio Kama Hilo halikuwekwa kwenye habari za Sevilla au Laliga[emoji12]

Utopolo bhana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kocha wa upotolo analalamika hajatumiwa tiketi wanamwambia ndege nafasi zimejaa wakati yeye anasema ana watu wake kwenye ndege ambao wamemwambia nafasi zipo anasema mbona Azam kocha wao karudi au mbona simba wachezaji wao wanarudi hebu msaidieni au mmeamua kumtema kijanja
 
Kunawakati washabiki wa utopolo huwa wanachekesha sn,, yaani juzi kusaini mkataba na laliga eti wanatamba kuchukua kombe la ligi msimu huu.
 
Back
Top Bottom