GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Katika hili nikiwa kama Kocha wa Makipa wa Klabu ya Yanga niseme tu ukweli kwa jinsi Ratiba hii ilivyo hasa Kwetu Sisi Yanga hatutoweza kuwa na Maandalizi ya kutosha ya kutuwezesha Kubeba ama Ubingwa wa VPL au hata ule wa ASFC japo tutajitahidi Kupambana ila tusidanganyane Matumaini ni madogo Kwetu " amesema Peter Manyika.
Mimi kama Mwana Yanga SC ' Dam Dam ' kabisa nipende tu Kumwambia Kocha wetu wa Makipa Manyika kwamba yupo sahihi tena kwa 100% juu ya haya Malalamiko yake ya Kiufundi kwani huenda ni Klabu tu ya Yanga ndiyo yenye Mechi nyingi, Ratiba hii ngumu na inacheza hii Ligi ya VPL peke yake ila Vilabu vingine vyote vyenyewe hii Ratiba ya CORONA Kwao haijawakalia vibaya.
Wana Yanga SC Wenzangu huu sasa ni wakati wa Sisi Kuanza Kujiandaa Kisaikolojia kwani hatubebi tena VPL na hata lile la ASFC tena.