[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DOMOLEPE kakomba pesa zote.Sio kukosa hela ile ni timu inaweka bajeti sio maneno y mitandao ko kambi in popote mhimu sio kushindan kwenda nje
Hutaki au?Acha kusumbua watu, weweni yanga tngu lini?
Yanga SC inafikia hata 15% tu ya Hadhi ya hivi Vilabu vya maana na vya uhakika ulivyovitaja kama siyo Kuviorodhesha hapa?Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao
Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri
- ENDELEENI KUDANGA
Huwa siwacheleweshi Majuha kama huyo Mkuu.Umelikomesha hilo
Rais Injinia Hersi Said sasa anaanza Kujilipa kwani kupitia Gharib Said Mohammed ( GSM ) wametumia Fedha nyingi mno ili kuiweka Yanga SC hapo ilipo sasa.Hahahaahaaaaa!! Eti muda mara wachezaji wameitwa timu y taifa.kwani timu ya taifa ni wachezaji w yanga tu ndio wameitwa?
Hio Teckno Y3 yako unajiona umeyatoa!?Aziz Ki, Joyce na Mnewcastel wa bigwa wamekata mzigo, naskia huko moro jamaa wapo wanashindia miwa tu