Wana Yanga SC wenye Uchungu tunataka Majibu kwanini Timu inaweka Kambi kwenye Fisi Bigwa Morogoro na kwenye Mbigiri Karatu Manyara?

Wana Yanga SC wenye Uchungu tunataka Majibu kwanini Timu inaweka Kambi kwenye Fisi Bigwa Morogoro na kwenye Mbigiri Karatu Manyara?

Sio kukosa hela ile ni timu inaweka bajeti sio maneno y mitandao ko kambi in popote mhimu sio kushindan kwenda nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DOMOLEPE kakomba pesa zote.
Yacouba kamfunda vyema mwali. Sahivi mnabaki kuugulia mateso.

Byuti byuti
 
Kikosi kinaelekea bigwa hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti
FB_IMG_16581286605982781.jpg
 
Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao

Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao

Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri

- ENDELEENI KUDANGA
Yanga SC inafikia hata 15% tu ya Hadhi ya hivi Vilabu vya maana na vya uhakika ulivyovitaja kama siyo Kuviorodhesha hapa?
 
Hahahaahaaaaa!! Eti muda mara wachezaji wameitwa timu y taifa.kwani timu ya taifa ni wachezaji w yanga tu ndio wameitwa?
Rais Injinia Hersi Said sasa anaanza Kujilipa kwani kupitia Gharib Said Mohammed ( GSM ) wametumia Fedha nyingi mno ili kuiweka Yanga SC hapo ilipo sasa.
 
Nnachokijua mimi yanga hata wasipoenda popote wakikutana na nyau(mikia) lazima wawaweke du.de
 
Ile mimba ya Engineer Hersi ushaitoa kabla hujahamia kwa Wanachama wa Yanga?
 
Kucheza na Ismaily kwenye uwanja wa carpet wakati unamalengo ya kujiandaa kuchezea manungu nao ni ukolo
 
Back
Top Bottom