Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Mimi kama mwanayanga tena 'lia lia' kabisa kwa huu 'Upuuzi' naomba kuhamia rasmi Kwenu Simba Sports Club Mkuu kwani 'imenivutia' sana tu.
Wiki tatu? Ndio nn? KAWASHINDAWe acha propaganda, huyo Morrison hatacheza simba,subiri kama wiki 3 hivi utasikia kazi
MIPOVU ruksakila nikiona Post zako huwa najiuliza wewe jamaa utakua una tatizo kama sio matatizo, ila navyoona inawezekana kabisa una stress ila sijui ni za nini, nakushauri tu jaribu kutafuta watu wasaikolojia wanaweza kukusaidia, kwani licha ya kua unaleta thread zisizo na mahana ajabu hua unajikubali nakujiona kua wewe ni genius kumbe inawezekana dishi limeyumba.
Lakini isiwe inshu sana, najaribu tu kukupa ushauri
We acha propaganda, huyo Morrison hatacheza simba,subiri kama wiki 3 hivi utasikia kazi
sio tatizo lako hila nahamini kuna bahadhi ya nati katika ubongo wako zitakua zimelegea, kwani hata unachoandika kinaonesha kabisa wewe jamaa ni dakika moja yes na dakika moja noBaada ya kuwa nae kwa muda mrefu 'Kimahusiano' Yule aliyekufanya leo hii upo nasi hapa duniani na 'Kuachana' nae ndiyo kaniharibu Kisaikolojia.
Ya nini kuumwa ukichaa kisa mpira, Karibu Chief...
Leo Rasmi tumemsajili Gentamycine ki ungo mkabaji SIMBA SPORTS CLUB "home of champions"
chukua hilo povu ukaogee kwani inaonekana unapenda sana mapovuMIPOVU ruksa
sio tatizo lako hila nahamini kuna bahadhi ya nati katika ubongo wako zitakua zimelegea, kwani hata unachoandika kinaonesha kabisa wewe jamaa ni dakika moja yes na dakika moja no
chukua hilo povu ukaogee kwani inaonekana unapenda sana mapovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichesha eti waende na mademu zaoKimsingi kama mwana yanga mwenye akili timamu ni kuachana na hilo chama mazima yani wala hakuna kwenda uwanjani waende wao na watoto zao na mademu zao maana inonekama kuna shida upande wa uongozi na mzamini gsm
Una jipya zaidi ya kuonesha ujinga ulionaoIli nipone tatizo langu hili nakuomba kwa niaba yangu mwambie aliyekuleta duniani kuwa nataka 'turudiane' kwani 'alilinogea' na 'Kunikuna' sana.
una jipya kwani wewe unazani hilo ni jimbo la marekani,hiyo ni user name nayotumia jaribu kua unashirkisha na ubongo sometimesHalafu hakuna neno CARIFONIA duniani bali kuna neno ( jina ) la CALIFORNIA sawa? Unajifanya unajua wakati 'Ujuha' Mtupu tu ndiyo umekujaa.
Una jipya zaidi ya kuonesha ujinga ulionao
Alafu unaoneka bonge la mshamba
Lakini sio inshu msalimie mama yako mwambie nimemisi sana
una jipya kwani wewe unazani hilo ni jimbo la marekani,hiyo ni user name nayotumia jaribu kua unashirkisha na ubongo sometimes
Si Dhani kama mwandishi ni Shabiki wa Yanga .Hizo zilikuwa tetesi Yanga hawakuwahi kutangaza kumhitaji Larry ni tetesi kama ukisikia Arsenal wanataka kumsajili CR7 za weza kuwa za kweli au zisiwe za kweli .Tusilazimishe walete wachezaji ambao watakuja kuvurunda kama Yikpe afu tukawalaum.Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee.
Wiki ya Jana Yanga SC tulikuwa tunamleta Bonge la Beki ambaye ni zaidi ya Bakari Nondo Mwamnyeto aitwae Ibrahim Ami aje 'Kusinya / Kusaini' Kwetu Yanga SC cha 'Kushangaza' Klabu tusiyoipenda ila inayopendwa mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club ikamsajili na sasa ni Mali yao kabisa.
Mwanzoni mwa Wiki hii wana Yanga SC tulikuwa tunajua kabisa kuwa Kiungo 'Mahiri' kutoka Ghana ambaye pia ni Wakili Msomi na wa Kujitegemea Bernard Morrison ni Mali ya Yanga SC kumbe ameshakuwa ni Mali ya Simba Sports Club kitu ambacho ni 'Hatari' sana Kwetu kwani mpaka hivi sasa ndani ya Yanga SC sijaona Beki ya 'Kumkaba' huyu Morrison ukiachia akina Chama na Miquissone.
Kubwa kuliko na hii ndiyo 'imeniuma' sana hadi sasa nataka wanayanga Wenzangu wowote popote pale mlipo 'tujitokeze' na 'tuwatimue' hawa 'Wanafiki' akina GSM pamoja na Mwenyekiti Wetu Mshindo Msola kwani wameshaonyesha kuwa ni 'Waongo' na 'Matapeli' tu pia hasa linapokuja Suala zima la Usajii.
Ni muda mfupi tu umepita Yanga SC tulikuwa tunategemea 'Kumpokea' Kiungo Mshambuliaji 'Hatari' kabisa ambaye uwezo wake Uwanjani ni 'maradufu' ya Clatous Chama aitwae Larry Bwalya. Cha 'Kushangaza' GSM na Mwenyekiti Msola pamoja na Magazeti ya Michezo 'yalituaminisha' Wiki nzima kuwa ni Mali ya Yanga SC na hatimaye 'ameshasinya / ameshasaini' Simba Sports Club.
Kwa hasira nilizonazo GENTAMYCINE nawapa GSM na Mwenyekiti Msola Saa 72 tu zijazo watuachie Yanga SC yetu na itakuwa chini yetu Mashabiki.
Yaelekea GSM hawana hela hawa ni wababaishaji na Mwenyekiti mara laliga mara huyu mali yetu,Makambo kesho anatambulishwa na Simba.
Hawa GSM wanatumia nembo ya yanga kujipatia kipato
Yanga ni enzi Manji mkamnyima timu mkafuata ya maehemu Akilimali.Msipoangalia msimu ujao wa ligi Simba inawatandika magoli 11 bila.