GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto.
Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho tukutane Klabuni Yanga SC ili tuandamane hawa watuachie Yanga SC yetu kabla ya Kucheza na Timu Ngumu na inayojua ya Rivers United FC Siku ya Jumapili Estadio du Mkapa.
Cc: Arovera, Bila bila and Frank Wanjiru