Wana Yanga SC wenzangu Kura zetu zote tumpe Profesa Mshindo Msolla na Tajiri Eliud Mvela Siku ya Uchaguzi Mkuu Jumapili Kesho Kutwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nikiwa kama Mwana Yanga SC naomba tumchague Profesa Mshindo Msolla kama Mwenyekiti wa Timu yetu na Eliud Mvela kama Makamu wa Mwenyekirti. Siku ya Jumapili nami GENTAMYCINE nitakuwepo pale Police Officers Mess katika Kupiga Kura yangu hivyo kama Wewe ni Mwana Yanga SC mwenzangu usiniangushe tafadhali na kwa pamoja au umoja wetu tuwachague hawa Watu niliowataja hapa.

Ukiona Kitu chochote GENTAMYCINE anakipenda basi jua ' Kimebarikiwa ' hadi na Mwenyezi Mungu na Malaika wake akina Jibrili na Mikaela hivyo Siku ya Jumapili nitawadharau mno Wana Yanga SC wenzangu kama hatutowachagua akina Mshindo Msolla na Eliud Mvela Kutuongoza.

Nina uhakika kama wana Yanga SC wenzangu wote tutawapa hawa dhamana Kuu juu ya Klabu yetu basi Kombe hili la Ligi Kuu tunabeba, lile la ASFC tunabeba, Kombe la Kagame tunabeba, Kombe la Mapinduzi tunabeba na Kombe la Klabu Afrika tunabeba pia kwani Simba SC wamebahatisha tu na wala hawatuwezi ng'o.

Na mkiwachagua hawa Mshindo Msolla na Eliud Mvela wana Yanga SC wenzangu Simba SC tena hii mbovu mbovu kabisa haitotufunga tena ila mkiwachagua tu Wagombea wengine mtakuja Kujuta na Kunikumbuka Mimi mwana Yanga SC mwenzenu GENTAMYCINE.

Na kuhusu Ubingwa wa Ligi ( TPL ) wala wana Yanga SC wenzangu msiogope au kuwa na Hofu yoyote ile kwani Simba SC hawatutishi kabisa kwani Mechi zao Kumi ( 10 ) zilizobaki kuanzia hii ya leo wanaenda Kufungwa zote. Ila yote haya yatatokea kama tu mkiwachagua akina Mshindo Msolla na Eliud Mvela hiyo Siku ya Jumapili.

Naomba kila mwana Yanga SC hapa Mtandaoni JamiiForums ' aifowadi ' hii ' thread ' yangu kwa wana Yanga SC wote na isambae upesi na hakikisheni mnawaambia kuwa mwana Yanga SC mwenzao Mimi GENTAMYCINE nimesema wasiniangushe hiyo Jumapili tafadhali.

Naipenda mno na sana Klabu yangu ya Yanga SC na hata wana JamiiForums wote hapa wanalijua hili.

Nawasilisha.
 
Umenikumbusha ya Rage kucheza disco la kushangilia Ubingwa wa Yanga miaka hiyo, nasikia hata yule Captain naye alikua na kadi ya Yanga, anyway nawatakia Yanga uchaguzi mzuri mwakani tuwakimbize
 
Genta, leo umekuwa Yanga?
U Simba kindakindaki hadi unaumwa umeutupa wapi.

All in all, Yanga yaja.
 
1.Dr. Jonas Tiboroha(rais).
2.Yono Stanley kevera(vice).
Ukiwasikiliza unaiona njia
 
Umenikumbusha ya Rage kucheza disco la kushangilia Ubingwa wa Yanga miaka hiyo, nasikia hata yule Captain naye alikua na kadi ya Yanga, anyway nawatakia Yanga uchaguzi mzuri mwakani tuwakimbize
Captain yupi tena mkude au mgosi
 
Umenikumbusha ya Rage kucheza disco la kushangilia Ubingwa wa Yanga miaka hiyo, nasikia hata yule Captain naye alikua na kadi ya Yanga, anyway nawatakia Yanga uchaguzi mzuri mwakani tuwakimbize
Ata msemaji nae nasikia yupo kimaslai
Umenikumbusha ya Rage kucheza disco la kushangilia Ubingwa wa Yanga miaka hiyo, nasikia hata yule Captain naye alikua na kadi ya Yanga, anyway nawatakia Yanga uchaguzi mzuri mwakani tuwakimbize
Nasikia ata msemaji nae ni kandambili ila yupo kimaslai zaidi
haji.jpg
 
Ruksa...
 
Back
Top Bottom