Chaaaaaa juma makapu huyo ni mkaanga chipsi au? Hiyo kaizer chiefs labda ya kigoma huko kule kwa wakimbiziHajui kitu yule Mkuu namba yake tutamchezesha Kiungo bora kabisa kwa sasa ndani ya Yanga SC aitwae Juma Makapu. Ni mzuri na hata Kaizer Chiefs ya South Africa na Zamalek FC ya Egypt wameleta ' Ofa ' wanataka kumsajili kwa Tsh Milioni 390 za Kitanzania.
Teh teh teh haya aisee mkuu japo kama huaminiki vile unasifia huku na hukuKuna Mtu kule ali ' hack ' ID yangu ila huyu sasa ndiye GENTAMYCINE mwenyewe na nawaomba wote mniamini kwamba Mimi ni mwana Yanga SC mwenzenu hivyo nipeni ushirikino wenu mkubwa ili tuweze kuifunga Simba SC Jumamosi tuzidi kupata raha na kutamba hapa mjini. Na ushirikiano wenu mkubwa wana Yanga SC ninaouomba kutoka Kweni ni kwamba nimesikia Yanga SC imeweka Kambi yake sehemu ya Siri huko Mkoani Morogoro ila Mimi GENTAMYCINE kuna baadhi ya Zawadi kama Maji na Glucose ambazo nimezinunua nataka kuwapelekea Wachezaji wetu wa Yanga SC huko walipo Kambini je kuna Mwana Yanga mwenzetu yoyote labda anaweza akanisaidia kujua Klabu yetu ya Yanga ipo mahala gani na unafikaje huko na mazingira yake yapoje? Ewe mwana Yanga SC mwenzangu ' ushirikiano ' wako wa kunipa malekezo hayo ninayoyataka ndiyo ushindi wetu dhidi ya Simba SC Jumamosi.
Teh teh teh haya aisee mkuu japo kama huaminiki vile unasifia huku na huku
Nilikuwa sifahamu...RIP afandeMkuu umepata taarifa lakini kwamba yule Askari wa FFU aliyeuwawa na Wananchi huko Ukonga alikuwa akiitwa Charles Yanga? Naona safari hii tumeanza mapema sana ila tabia yetu ya Kutoa ' Mikafara ' kama ambavyo siku zote tumekuwa tukifanya kila tunapokaribia kucheza na Simba SC. Halafu safari Mkuu ' Kafara ' letu tumelianza mapema sana hadi nawaonea huruma Simba SC hiyo siku ya Jumamosi.
R.I.P Afande Charles Yanga na Kila la Kheri Klabu yangu ya Yanga SC.
Mbumbumbu hata kauli zake utamjua kiongozi unatakiwa kumdharau na hanavyojihirishia kuwa hamnazo kichwani.Duuh! Naona unazidi kujidhihirisha umahili wako wa msimbazi
Hilo lipo waziKwaiyo bila ndumba hatushindi?
mkuu kuhamia haikatazwi pia....unajulikana ni moja ya wafuasi wasiojiamini wa nyau sc....karibu huku kwetu, maana sie kila msimu kuna sikukuuNina uhakika kabisa wana Yanga SC wenzangu hasa tuliopo humu Jamvini JF mtakubaliana kabisa na Mimi Mwana Yanga mwenzenu wa ' Kutukuka ' kabisa GENTAMYCINE kwamba ama hakika kwa Kikosi hiki Mnyama ( Simba SC ) hatoki siku hiyo na tukimkosa kosa sana basi kwa Kikosi hiki tu tunamfunga Goli 5 au 7.
- Ben Kakolanyi
- Ramazan Kessy
- Haji Mwinyi
- Patrick ( Pato ) Ngonyani
- Nadir Haroub ( Nahodha )
- Juma Makapu
- Geofrey Mwashiuya
- Raphael Daud
- Emanuel Martin
- Donald Ngoma
- Amis Tambwe
Kwakuwa GENTAMYCINE nipo karibu sana na Kocha wetu George Lwandamina na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa naombeni maoni yenu ya haraka haraka ili kama Kikosi hiki mmekiridhia basi nikamkabidhi haraka Kocha ili nae ' akibariki ' na kipelekwe upesi kwa ' Mganga ' wetu kule ' Matombo ' na ' Mang'ula ' Mkoani Morogoro ili wakapikwe vyema Kindumba / Kiuchawi kusudi Simba SC afungwe Jumamosi Shamba la Bibi.
Nawasilisha.
Niunge na mimiNaomba kuja aliye kwenye group la yanga wassup tujuane
Nina uhakika kabisa wana Yanga SC wenzangu hasa tuliopo humu Jamvini JF mtakubaliana kabisa na Mimi Mwana Yanga mwenzenu wa ' Kutukuka ' kabisa GENTAMYCINE kwamba ama hakika kwa Kikosi hiki Mnyama ( Simba SC ) hatoki siku hiyo na tukimkosa kosa sana basi kwa Kikosi hiki tu tunamfunga Goli 5 au 7.
- Ben Kakolanyi
- Ramazan Kessy
- Haji Mwinyi
- Patrick ( Pato ) Ngonyani
- Nadir Haroub ( Nahodha )
- Juma Makapu
- Geofrey Mwashiuya
- Raphael Daud
- Emanuel Martin
- Donald Ngoma
- Amis Tambwe
Kwakuwa GENTAMYCINE nipo karibu sana na Kocha wetu George Lwandamina na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa naombeni maoni yenu ya haraka haraka ili kama Kikosi hiki mmekiridhia basi nikamkabidhi haraka Kocha ili nae ' akibariki ' na kipelekwe upesi kwa ' Mganga ' wetu kule ' Matombo ' na ' Mang'ula ' Mkoani Morogoro ili wakapikwe vyema Kindumba / Kiuchawi kusudi Simba SC afungwe Jumamosi Shamba la Bibi.
Nawasilisha.
Mkuu naomba hiyo siku,usikimbie tu.. maana najua mtakula kichapo cha jibwa jizi
sijamwona tshishimbi papa kabanga, ajib
Basis tulia dawa iingie vizuriii!Unauliza ' Nyege ' Kagera?
Wewe ni mnyama dhahiri, huwezi peleka vitani askari wenye magobole wakati wenye Ak 47 wapoNina uhakika kabisa wana Yanga SC wenzangu hasa tuliopo humu Jamvini JF mtakubaliana kabisa na Mimi Mwana Yanga mwenzenu wa ' Kutukuka ' kabisa GENTAMYCINE kwamba ama hakika kwa Kikosi hiki Mnyama ( Simba SC ) hatoki siku hiyo na tukimkosa kosa sana basi kwa Kikosi hiki tu tunamfunga Goli 5 au 7.