Wana Yanga SC Wenzangu sasa tushindwe Wenyewe Kubeba Kombe la VPL kwani kwa ' Fixture ' hii mpya Simba SC hachukui Ubingwa tena!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu nisiyoipenda kabisa duniani ya Simba SC. Tuwaombe akina GSM, La Liga na Klabu ya Sevilla waje watusaidie katika Mechi hizi zilizobaki ili ' Mnyama ' apoteze au atoe Sare zote na Sisi tushinde zetu.

Nina uhakika kabisa tena wa 100% kwa Simba SC hii ' Mbovu Mbovu ' sijui ya akina Kagere, Chama, Micquissone, Kahata, Mkude, Dilunga na Wengineo hawana ubavu wa Kuipambania Simba SC iwe Bingwa wa 2019 / 2020 wakati Sisi Yanga SC ina Wachezaji Wakali na Mahiri mno kama Washambuliaji akina Yikpe na Molinga ambao wanaoongoza kwa Ufungaji Magoli katika Ligi ya VPL.

GSM wala msiogope na Kutishwa na wale wanaosema sijui ' Mnainyonya ' Yanga SC Kimapato ( Kipesa ) tena Mimi GENTAMYCINE kwa ninavyowakubali natamani hata Jina la Yanga SC libadilishwe haraka na sasa Yanga SC yetu iitwe GSM Mapesa Mabadiliko Football Club. Nawashauri GSM hebu ' Wahongeni ' Marefa ili Yanga SC tuwe Mabingwa kwani PCCB hawataweza Kuwashtukieni.

Mwisho kabisa GSM kama mtaridhia Mimi Mwanachama Mtiifu wa Yanga SC nawashauri kama ikiwapendezeni hebu tuachane haraka na huyu Mchezaji ' Mzigo ' kutoka Ghana Bernard Morisson kwani hana ' Ubora ' huo na ikiwezekana tumrudishe Timu B akaendelee ' Kujifua ' zaidi au tumtoe hata kwa Mkopo kwa Timu nisiyoipenda duniani ya Simba SC na tumsajili Paul Nonga pekee.

Na kama labda GSM mtakuwa mnaogopa ' Kuwahonga ' Marefarii ili Yanga SC yetu iwe inashinda Mechi zilizobaki nitumieni Mimi mtafurahi mno.
 
Muhimu; Jana tumesinya mwanzo wa mabadiliko bora ya uendeshaji wa klabu! Bora kuliko ya majirani
 
Sina majibu zaid ya [emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hiv ndoto za mchana zinaruhusiwa au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku huyu atatuambia kuwa Yeye siku zote alikuwa jinsi ya KE ila sasa anekuwa ME!
 
Muhimu; Jana tumesinya mwanzo wa mabadiliko bora ya uendeshaji wa klabu! Bora kuliko ya majirani
Wakati wenzenu wapo kwenye mabadiliko, ninyi mnasinya mwanzo wa mabadiliko. Wakati wenzenu wanafanya mazoezi kwenye kiwanja chao, ninyi ndio kwanza mmepewa shamba la kujenga au walau kutengeneza pitch na mmoja wa wanachama wa mahasimu wenu.
 
Utopolo, Simba ipoteze mechi tano ndio mtakuwa mabingwa.
na hii itategemea na wanaomfuatia mnyama wana matokeo gani.
.
wewe mpira hujui, Simba akicheza mechi 3 akashinda 2 Azam na Utopolo wakacheza 3 wakapoteza mbili tunabakisha mechi points mbili tu tunatangaza ubingwa
 
Kumbe kwenye mkataba huo, ni Yanga ndio wanaotoa fedha, sio wanaopokea fedha. Hongera Yanga kwa kuwa wafadhili!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…