Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
hatuwezi kufanya hivyo mpaka utuleze kwann unatutia aibu👇
 

Attachments

  • 4614A8FC-3CD1-4277-980C-FC5B932A10C0.jpeg
    4614A8FC-3CD1-4277-980C-FC5B932A10C0.jpeg
    176 KB · Views: 7
Payge huyu hajaanza Kunichokoza leo wala jana. Tusije Kulaumiana tu baadae.
nimeuliza swali, kwanin ulikimbia uzi wako na ukaufunga kabisa? Sasa hapo kosa langu lipo wapi? Mimi nimekuuliza nataka kujua spana gani ulizopigwa zikapelekea kuukimbia uzi wako?👇
 

Attachments

  • 090EB1BE-808B-44EE-B4A2-A7D9C74B6F52.jpeg
    090EB1BE-808B-44EE-B4A2-A7D9C74B6F52.jpeg
    176 KB · Views: 4
Jibu la swali lako limeshatolewa kwenye mkutano mkuu

Yanga imeingiza bilioni 21. Matumizi ya yanga ni bilioni 22.

Hasara bilioni 1.
Asante mkuu kwa jibu tukuka tatizo hafatilii mambo yupo yupo tu, sasa unisaidie kumuuliza kwann baada ya kupigwa spana akafunga uzi na kutoweka siku mbili nzima kama sativa
Tazama hapo chini👇
 

Attachments

  • 8EB087A4-61C9-4EDF-8681-EC4F02401745.jpeg
    8EB087A4-61C9-4EDF-8681-EC4F02401745.jpeg
    176 KB · Views: 3
Sisi mradi alitupikia supu na chapati haina shida kwetu hata klabu ikirudi kuwa omba omba.
 
Mbna washaeleza kua walipata hasara.
Huyo jamaa afatilii mambo
Naomba umuulize Kwanini alifunga uzi na kupotea forum kwa siku mbili Akiingia kwa manati baada ya kupigwa spana za kutosha hapa chini👇
 

Attachments

  • 16FABEE1-E97D-474E-A0FD-4E2AA536B882.jpeg
    16FABEE1-E97D-474E-A0FD-4E2AA536B882.jpeg
    176 KB · Views: 5
Ndugu zangu wanajukwaa, nadhani ule muda wa mchango wa nauli ya kijana wetu kwenda kuchukua zile dawa zake; umewadia. Kutoa ni moyo ndugu zangu.
 
Mpira wa bongo na afrika kwa ujumla (ukiondoa Egypt) we shangilia TU mambo yanapokuwa mazuri yakiwa mabaya kumbuka yalipokuwa mazuri basi
 
Back
Top Bottom