Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Hahaha aiseeYaani mpaka timu ya Wananchi itolewe mtakuwa mumeipata pata.
Na bado!!
Ndio Mtani.Mana baadhi ya watani zangu wanaweweseka hadi huruma.Hahaha aisee
hahahaNdio Mtani.Mana baadhi ya watani zangu wanaweweseka hadi huruma.
Yabidi Ifikie kipindi muamini tu kwamba mlishatolewa na Yanga ndio Wakimataifa. π π π
Hahahaaa. Najua tutayasikia mengi sana mwaka huu Mtani.hahaha
Mkija kushtuka huku TPL ishaisha zamani na bingwa katangazwa mtani.
Na mwakani ni timu mmoja tu labda walau na nyie huu mwaka mzisogeze sogeze point kidogo uko CAF
Nguvu hii mnaitolea wapi lakini mtani.Hahahaaa. Najua tutayasikia mengi sana mwaka huu Mtani.
Ila muda ndio utaongea.
CHAMPIONS LEAGUE MTANI. ππNguvu hii mnaitolea wapi lakini mtani.
Mwaka huu tunaloCHAMPIONS LEAGUE MTANI. ππ
Kama sisi tuluvyokuwa nalo mwaka jana Mtani.Mwaka huu tunalo
πππ Hizi ndio kauli sasa Mtani.Sema watu wavibanda umiza tunasema fresh tu