Wana Yanga SC Wenzangu tunaotaka Kusafiri na Timu kwenda Zambia wiki ijayo tusiende kwani huko njiani Mabasi yanatekwa mno

Wana Yanga SC Wenzangu tunaotaka Kusafiri na Timu kwenda Zambia wiki ijayo tusiende kwani huko njiani Mabasi yanatekwa mno

Ndio Mtani.Mana baadhi ya watani zangu wanaweweseka hadi huruma.

Yabidi Ifikie kipindi muamini tu kwamba mlishatolewa na Yanga ndio Wakimataifa. 😅😅😅
hahaha

Mkija kushtuka huku TPL ishaisha zamani na bingwa katangazwa mtani.

Na mwakani ni timu mmoja tu labda walau na nyie huu mwaka mzisogeze sogeze point kidogo uko CAF
 
Back
Top Bottom