Wana Yanga SC wenzangu tusikubali huu usajili wa kiini macho tafadhali

Hakuna neno dada. Ndio utani huo na swahiba wangu keshazowea utani. [emoji23] [emoji23]

Jioni njema dada ila august 23 kuna simba na yanga natarajia nikuone usije nikimbia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utani raha dada tena wa mtu na mtani wake nakukimbiaje mie wewe tu usije ukanikimbia nitakusaka majukwaa yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huna lolote mkuu limekuganda,toa ushauri kwa timu lako bovu la msimbazi
 
Hii inaitwa kujipendekeza kwa bwana asiyekutaka.
 
Hujawahi kuwa mshabiki wa yanga...usitake kupotosha umma....undeleeni kusajili wahenga...ngoma uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani VPL inachezwa Sweden?
Basi tufanye hivi...

Weka idadi ya misimu aliyocheza Bongo akiwa na simba SC , na amrisaidia timu yake kubeba VPL mara ngapi katika hiyo misimu?[emoji23]
 
Hivi una pande mbili kama shilingi?
Mara wewe ni simba lialia,leo tena unasema wewe ni yanga!!!
....utakuwa na shida kubwa si bure.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…