Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Woiiii [emoji3][emoji3][emoji3]majonzi yapo yanga kwenu tukutane dada ligi ikianza tuHivi dada ulikosa timu eee ya kushangilia. Au wapenda majonzi kila leo. [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woiiii [emoji3][emoji3][emoji3]majonzi yapo yanga kwenu tukutane dada ligi ikianza tuHivi dada ulikosa timu eee ya kushangilia. Au wapenda majonzi kila leo. [emoji125] [emoji125]
Hamchelewi dada kutaka za mezani. Haya nakusubiri august 23. [emoji124]Woiiii [emoji3][emoji3][emoji3]majonzi yapo yanga kwenu tukutane dada ligi ikianza tu
Tuacheni dada jaman na team yetu mbona hamuachi kulia liaHamchelewi dada kutaka za mezani. Haya nakusubiri august 23. [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Haya bwana dada.Tuacheni dada jaman na team yetu mbona hamuachi kulia lia
Mkuu unavyojua kuchagua avatar bomba,nikajua labda utajua kuchagua timu iliyo bora Yanga Afrika,lkn hapo kwa mikia umefeli!Gentamycine nimekuelewa sana wana yanga mmesikia lakini poleni sana
Simba mnyama anawakosesha usingizi jamaan kila mtu apambane na team yake mkuuMkuu unavyojua kuchagua avatar bomba,nikajua labda utajua kuchagua timu iliyo bora Yanga Afrika,lkn hapo kwa mikia umefeli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu unavyojua kuchagua avatar bomba,nikajua labda utajua kuchagua timu iliyo bora Yanga Afrika,lkn hapo kwa mikia umefeli!
Ewaaaaaa dada ndio yangu hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swahiba wacha uchokozi bana. Ndiyo aliyoipenda mwenyewe kuwa mkiani na amesharidhika hivyo muache tu. [emoji124]
Hakuna neno dada. Ndio utani huo na swahiba wangu keshazowea utani. [emoji23] [emoji23]Ewaaaaaa dada ndio yangu hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba mnyama anawakosesha usingizi jamaan kila mtu apambane na team yake mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utani raha dada tena wa mtu na mtani wake nakukimbiaje mie wewe tu usije ukanikimbia nitakusaka majukwaa yoteHakuna neno dada. Ndio utani huo na swahiba wangu keshazowea utani. [emoji23] [emoji23]
Jioni njema dada ila august 23 kuna simba na yanga natarajia nikuone usije nikimbia tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
huna lolote mkuu limekuganda,toa ushauri kwa timu lako bovu la msimbaziNikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi binafsi sioni kama wanastahili kuendelea kuichezea Yanga.
Kila Mtu anajua kuwa Wachezaji kama Donald Ngoma na Thabani Kamusoko ni ' wabovu ' na ' wamechoka ' sana kiasi kwamba hawatakuwa na faida tena kwa Klabu yetu hasa huko tuendako na yawezekana tukaja kujuta pia.
Kosa lingine kubwa ambalo nina uhakika wa 100% kwamba litatugharimu ni kitendo kibaya na cha kusikitisha cha Uongozi wetu wakiongozwa na Makamu Rais Sanga na Katibu Mkuu Mkwasa bila kusahau ' Kamati ' nzima ya ' Usajili ' kwa kumsajili mchezaji ambaye ni ' mbovu ' na hata huko alikotoka alikuwa anaanzia ' benchi ' aitwa Ibrahim Ajib.
Sasa kituko kingine ambacho ndiyo kinanipandisha hasira Mimi mwana Yanga FC ni hiki kitendo cha kutaka kumsajili Mchezaji ambaye kiukweli hajui kabisa mpira kutoka nchini Congo aitwae Tshimbimbi. Nimemjua huyu Mchezaji siku nyingi na kumfuatilia na sijaona uwezo wake wowote hivyo naona ni bora tu hata Justine Zulu ' mkata umeme ' akabaki tu.
Jamani wana Yanga FC wenzangu hebu tusibaki nyuma katika hili kwani tunafanya ' Usajili ' mbaya na mbovu ambao haujawahi kutokea katika historia ya Timu na kama tusipokuwa makini kuna uwezekano mechi yetu na ' Watani ' zetu Simba SC tarehe 23, August 2017 tukatafuta mahala ambapo tutaficha ' Sura ' zetu kwa aibu ya Kipigo kitakatifu na cha Shalubela.
Yanga FC daima
Yanga mbele kwa mbele
Yanga ya Kimataifa
Kama Wewe ni mwana Yanga FC mwenzangu tafadhali upatapo tu uzi huu hebu mfowadie mwana Yanga mwenzako na kwa aliye karibu na Viongozi wa Yanga akina Sanga na Mkwasa bila kuisahau ile Kamati nzima ya Usajili basi ' wafowadieni ' pia na huu uzi ili uwafikie haraka na ushauri wangu huu wa ' Kutukuka ' uweze kuzingatiwa na kufanyiwa Kazi kwa manufaa ya Klabu / Timu yetu.
Kila la kheri.
Wala usijali my dada mie tena. Wala sitajificha. [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utani raha dada tena wa mtu na mtani wake nakukimbiaje mie wewe tu usije ukanikimbia nitakusaka majukwaa yote
Kwani okwi si ndipo alikokuwa anacheza huko?Kwani VPL inachezwa Sweden?
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swahiba wacha uchokozi bana. Ndiyo aliyoipenda mwenyewe kuwa mkiani na amesharidhika hivyo muache tu. [emoji124]
Hujawahi kuwa mshabiki wa yanga...usitake kupotosha umma....undeleeni kusajili wahenga...ngoma uwanjaniNikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi binafsi sioni kama wanastahili kuendelea kuichezea Yanga.
Kila Mtu anajua kuwa Wachezaji kama Donald Ngoma na Thabani Kamusoko ni ' wabovu ' na ' wamechoka ' sana kiasi kwamba hawatakuwa na faida tena kwa Klabu yetu hasa huko tuendako na yawezekana tukaja kujuta pia.
Kosa lingine kubwa ambalo nina uhakika wa 100% kwamba litatugharimu ni kitendo kibaya na cha kusikitisha cha Uongozi wetu wakiongozwa na Makamu Rais Sanga na Katibu Mkuu Mkwasa bila kusahau ' Kamati ' nzima ya ' Usajili ' kwa kumsajili mchezaji ambaye ni ' mbovu ' na hata huko alikotoka alikuwa anaanzia ' benchi ' aitwa Ibrahim Ajib.
Sasa kituko kingine ambacho ndiyo kinanipandisha hasira Mimi mwana Yanga FC ni hiki kitendo cha kutaka kumsajili Mchezaji ambaye kiukweli hajui kabisa mpira kutoka nchini Congo aitwae Tshimbimbi. Nimemjua huyu Mchezaji siku nyingi na kumfuatilia na sijaona uwezo wake wowote hivyo naona ni bora tu hata Justine Zulu ' mkata umeme ' akabaki tu.
Jamani wana Yanga FC wenzangu hebu tusibaki nyuma katika hili kwani tunafanya ' Usajili ' mbaya na mbovu ambao haujawahi kutokea katika historia ya Timu na kama tusipokuwa makini kuna uwezekano mechi yetu na ' Watani ' zetu Simba SC tarehe 23, August 2017 tukatafuta mahala ambapo tutaficha ' Sura ' zetu kwa aibu ya Kipigo kitakatifu na cha Shalubela.
Yanga FC daima
Yanga mbele kwa mbele
Yanga ya Kimataifa
Kama Wewe ni mwana Yanga FC mwenzangu tafadhali upatapo tu uzi huu hebu mfowadie mwana Yanga mwenzako na kwa aliye karibu na Viongozi wa Yanga akina Sanga na Mkwasa bila kuisahau ile Kamati nzima ya Usajili basi ' wafowadieni ' pia na huu uzi ili uwafikie haraka na ushauri wangu huu wa ' Kutukuka ' uweze kuzingatiwa na kufanyiwa Kazi kwa manufaa ya Klabu / Timu yetu.
Kila la kheri.
Basi tufanye hivi...Kwani VPL inachezwa Sweden?
Hivi una pande mbili kama shilingi?Nikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi binafsi sioni kama wanastahili kuendelea kuichezea Yanga.
Kila Mtu anajua kuwa Wachezaji kama Donald Ngoma na Thabani Kamusoko ni ' wabovu ' na ' wamechoka ' sana kiasi kwamba hawatakuwa na faida tena kwa Klabu yetu hasa huko tuendako na yawezekana tukaja kujuta pia.
Kosa lingine kubwa ambalo nina uhakika wa 100% kwamba litatugharimu ni kitendo kibaya na cha kusikitisha cha Uongozi wetu wakiongozwa na Makamu Rais Sanga na Katibu Mkuu Mkwasa bila kusahau ' Kamati ' nzima ya ' Usajili ' kwa kumsajili mchezaji ambaye ni ' mbovu ' na hata huko alikotoka alikuwa anaanzia ' benchi ' aitwa Ibrahim Ajib.
Sasa kituko kingine ambacho ndiyo kinanipandisha hasira Mimi mwana Yanga FC ni hiki kitendo cha kutaka kumsajili Mchezaji ambaye kiukweli hajui kabisa mpira kutoka nchini Congo aitwae Tshimbimbi. Nimemjua huyu Mchezaji siku nyingi na kumfuatilia na sijaona uwezo wake wowote hivyo naona ni bora tu hata Justine Zulu ' mkata umeme ' akabaki tu.
Jamani wana Yanga FC wenzangu hebu tusibaki nyuma katika hili kwani tunafanya ' Usajili ' mbaya na mbovu ambao haujawahi kutokea katika historia ya Timu na kama tusipokuwa makini kuna uwezekano mechi yetu na ' Watani ' zetu Simba SC tarehe 23, August 2017 tukatafuta mahala ambapo tutaficha ' Sura ' zetu kwa aibu ya Kipigo kitakatifu na cha Shalubela.
Yanga FC daima
Yanga mbele kwa mbele
Yanga ya Kimataifa
Kama Wewe ni mwana Yanga FC mwenzangu tafadhali upatapo tu uzi huu hebu mfowadie mwana Yanga mwenzako na kwa aliye karibu na Viongozi wa Yanga akina Sanga na Mkwasa bila kuisahau ile Kamati nzima ya Usajili basi ' wafowadieni ' pia na huu uzi ili uwafikie haraka na ushauri wangu huu wa ' Kutukuka ' uweze kuzingatiwa na kufanyiwa Kazi kwa manufaa ya Klabu / Timu yetu.
Kila la kheri.
Duh, Ngoma ni hatari. Amekuwa akikabwa na kijiji kizima!