Wana Yanga SC wenzangu tusikubali huu usajili wa kiini macho tafadhali

Nikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi binafsi sioni kama wanastahili kuendelea kuichezea Yanga.

Kila Mtu anajua kuwa Wachezaji kama Donald Ngoma na Thabani Kamusoko ni ' wabovu ' na ' wamechoka ' sana kiasi kwamba hawatakuwa na faida tena kwa Klabu yetu hasa huko tuendako na yawezekana tukaja kujuta pia.

Kosa lingine kubwa ambalo nina uhakika wa 100% kwamba litatugharimu ni kitendo kibaya na cha kusikitisha cha Uongozi wetu wakiongozwa na Makamu Rais Sanga na Katibu Mkuu Mkwasa bila kusahau ' Kamati ' nzima ya ' Usajili ' kwa kumsajili mchezaji ambaye ni ' mbovu ' na hata huko alikotoka alikuwa anaanzia ' benchi ' aitwa Ibrahim Ajib.

Sasa kituko kingine ambacho ndiyo kinanipandisha hasira Mimi mwana Yanga FC ni hiki kitendo cha kutaka kumsajili Mchezaji ambaye kiukweli hajui kabisa mpira kutoka nchini Congo aitwae Tshimbimbi. Nimemjua huyu Mchezaji siku nyingi na kumfuatilia na sijaona uwezo wake wowote hivyo naona ni bora tu hata Justine Zulu ' mkata umeme ' akabaki tu.

Jamani wana Yanga FC wenzangu hebu tusibaki nyuma katika hili kwani tunafanya ' Usajili ' mbaya na mbovu ambao haujawahi kutokea katika historia ya Timu na kama tusipokuwa makini kuna uwezekano mechi yetu na ' Watani ' zetu Simba SC tarehe 23, August 2017 tukatafuta mahala ambapo tutaficha ' Sura ' zetu kwa aibu ya Kipigo kitakatifu na cha Shalubela.

Yanga FC daima
Yanga mbele kwa mbele
Yanga ya Kimataifa

Kama Wewe ni mwana Yanga FC mwenzangu tafadhali upatapo tu uzi huu hebu mfowadie mwana Yanga mwenzako na kwa aliye karibu na Viongozi wa Yanga akina Sanga na Mkwasa bila kuisahau ile Kamati nzima ya Usajili basi ' wafowadieni ' pia na huu uzi ili uwafikie haraka na ushauri wangu huu wa ' Kutukuka ' uweze kuzingatiwa na kufanyiwa Kazi kwa manufaa ya Klabu / Timu yetu.

Kila la kheri.
Ni ushahidi dhahiri wa umakini wa usajili wenyewe. Ukisikia analaaniwa na shetani, elewa kuwa mwanadamu huyo yuko kwenye njia sahihi. Na kinyume chake, mwanadamu asifiwaye na shetani ameshapotea huyo!
 
Nikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi binafsi sioni kama wanastahili kuendelea kuichezea Yanga.

Kila Mtu anajua kuwa Wachezaji kama Donald Ngoma na Thabani Kamusoko ni ' wabovu ' na ' wamechoka ' sana kiasi kwamba hawatakuwa na faida tena kwa Klabu yetu hasa huko tuendako na yawezekana tukaja kujuta pia.

Kosa lingine kubwa ambalo nina uhakika wa 100% kwamba litatugharimu ni kitendo kibaya na cha kusikitisha cha Uongozi wetu wakiongozwa na Makamu Rais Sanga na Katibu Mkuu Mkwasa bila kusahau ' Kamati ' nzima ya ' Usajili ' kwa kumsajili mchezaji ambaye ni ' mbovu ' na hata huko alikotoka alikuwa anaanzia ' benchi ' aitwa Ibrahim Ajib.

Sasa kituko kingine ambacho ndiyo kinanipandisha hasira Mimi mwana Yanga FC ni hiki kitendo cha kutaka kumsajili Mchezaji ambaye kiukweli hajui kabisa mpira kutoka nchini Congo aitwae Tshimbimbi. Nimemjua huyu Mchezaji siku nyingi na kumfuatilia na sijaona uwezo wake wowote hivyo naona ni bora tu hata Justine Zulu ' mkata umeme ' akabaki tu.

Jamani wana Yanga FC wenzangu hebu tusibaki nyuma katika hili kwani tunafanya ' Usajili ' mbaya na mbovu ambao haujawahi kutokea katika historia ya Timu na kama tusipokuwa makini kuna uwezekano mechi yetu na ' Watani ' zetu Simba SC tarehe 23, August 2017 tukatafuta mahala ambapo tutaficha ' Sura ' zetu kwa aibu ya Kipigo kitakatifu na cha Shalubela.

Yanga FC daima
Yanga mbele kwa mbele
Yanga ya Kimataifa

Kama Wewe ni mwana Yanga FC mwenzangu tafadhali upatapo tu uzi huu hebu mfowadie mwana Yanga mwenzako na kwa aliye karibu na Viongozi wa Yanga akina Sanga na Mkwasa bila kuisahau ile Kamati nzima ya Usajili basi ' wafowadieni ' pia na huu uzi ili uwafikie haraka na ushauri wangu huu wa ' Kutukuka ' uweze kuzingatiwa na kufanyiwa Kazi kwa manufaa ya Klabu / Timu yetu.

Kila la kheri.
Mshaanza kujijambia,subiri tukitangaza rasmi usajili wetu,mikia m tamatani muanze usajili upya,elewa usajili wa Yanga unasimamiwa kocha G Lwandamina na katibu mkuu C Mkwasa ambaye taaluma yake unaijua,wakati mikia usajili wenu unafanywa na pope na wale walioko keko,mwisho wa siku tutajua mchele upi na pumba ni zipi
 
d301ef1869c7b7393165bf3a5a9e6c72.jpg
389633caa978924d36a3793e22300ff6.jpg
1a82bbe626425628c7aedcc1a6712af1.jpg
 
Wewe huwa ni simba. Changa la macho cc Nifah
 
Kila mwaka bingwa Yanga mpaka inauzi, nadhani viongozi wameliona hilo ndio maana wameamua kusajili timu ya Hovyoooo.
Na WAZEE WA FIFA wametumia fursa kwa kusajili timu nzima iliyokuwa inashika no 2 yaani AZAM ili walau wapate ubingwa HONGERENI kwa ukiona FURSA.
 
Gentamycine, wewe ni shabiki waSimba humu jukwaani wote tunakufahamu hivyo. Imekuwaje leo umekuwa Yanga mkuu?

Mbona Lowassa alijulikana ni mwana CCM lakini ghafla akahamia CHADEMA Mkuu? Yaani naipenda Yanga FC mpaka basi ila kwa ' Usajili ' huu mbovu na wa ' Kipuuzi ' wa kuwasajili Wachezaji wabovu kama akina Ajib na sijui huyu Mkongo Mbilimbi kimeniudhi mno kwani hawana hadhi ya kuchezea Klabu yetu kubwa na ya Kimataifa kama ya Yanga.
 
Kidogo nikukosoe mwana Yanga mwenzangu

NGOMA ni aina ya washambuliaji kwa sasa ambao wana itajika katika soka la kisasa..aina ya mpira anao cheza ni tofauti kabisa na mavugo wa Simba..ana uwezo wa kufanya chochote pale kwani ana nguvu za kutosha..! Msimu ulio usha Ngoma alifunga goli 10 kama sikosei sina uhakika lakini hakuna mshambuliaji yoyote wa Simba aliye mpita kwa magoli katika hizo goli linganisha na mechi alizo cheza...
.
KAMUSOKO hapa napo mkuu umekosea kamusoko sio kiungo mbaya kama tunavyo fikiri. Ukitaka kuona Yanga ina kwenda mbele mwangalie KAMUSOKO yupo wapi usimwangalie NIYONZIMA maana ukimwangalia NIYONZIMA huta muona Kamusoko ana fanya nini ndani...

Ngoja nikupe mfano kidogo
Mechi ya kwanza kati ya SIMBA VS YANGA. Kipindi wakati Kamusoko yupo ndani timu ilikuwa inacheza kwa mipango sana lakini alipo umia soka lika badilika mipira ikawa haiyendi mbele..

YANGA wanacho nifurahisha ni kuwa wanafanya usajiri yale maenek yenye mapungufu na sio kimehemko..aYanga ina mipango yake na Simba ina mipango yake ndiyo mana wengine wana jenga kikosi kwa kununua wachezaji wote wa kikosi cha kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tangu lini upo Yanga?

100% nimependezwa na nakubaliana na usajili wa kisayansi uliofanywa na Yanga Sc....kuna timu wenyewe wamesajili kikosi kizimaa
 
Gentamycine, wewe ni shabiki waSimba humu jukwaani wote tunakufahamu hivyo. Imekuwaje leo umekuwa Yanga mkuu?
Huwa namshangaa hata mimi na sijajuaga lengo lake aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mshaanza kujijambia,subiri tukitangaza rasmi usajili wetu,mikia m tamatani muanze usajili upya,elewa usajili wa Yanga unasimamiwa kocha G Lwandamina na katibu mkuu C Mkwasa ambaye taaluma yake unaijua,wakati mikia usajili wenu unafanywa na pope na wale walioko keko,mwisho wa siku tutajua mchele upi na pumba ni zipi
Kumbe swahiba nawe mwana jangwani.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] sana. Namuona tu huyu jamaa anavyotapa tapa
 
Mbona Lowassa alijulikana ni mwana CCM lakini ghafla akahamia CHADEMA Mkuu? Yaani naipenda Yanga FC mpaka basi ila kwa ' Usajili ' huu mbovu na wa ' Kipuuzi ' wa kuwasajili Wachezaji wabovu kama akina Ajib na sijui huyu Mkongo Mbilimbi kimeniudhi mno kwani hawana hadhi ya kuchezea Klabu yetu kubwa na ya Kimataifa kama ya Yanga.
Ushabiki wa soka ni tofauti na wa vyama vya siasa aisee mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom