Wana Yanga Shalulile kaja kuwaharibia timu

Halafu wale jamaa itakuwa kuna dau mliwapa wakishinda wanaenda nazo, mbona waliucharanga mpira kama karanga
 
Sisi Simba yule Osimhen tumepigwa pale aisee tufanyeni mpango wa Straika la sivyo tarehe. 12 tutakimbiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…