Wewe ndo unaongea kwa mihemukoMpira hautaki kuongea kwa hisia zako hauna fact za kumkataa Shalulile na pia hata hujui history yake umekula maharage yako unaamua kuanzisha uzi..
Umeanza kufatilia mpira juzi mpira wa sasa hivi mnaongea ili nifunge nipe pasi za namna hii kwa wachezaji wageni kama sio wageni wanajuana hawaongei kitu mazee upo wapi mbona umelala sana..Wewe ndo unaongea kwa mihemuko
Sasa mtu anaingia uwanjani anakuwa mshauri wa kila mchezaji...
Kawa kocha?
Yeye kaja kufunga kwa hiyo anataka viungo wake wampe pasi za mazingira gani kutokana na aina ya ukabaji wa mabeki forward yeyote asieongea hawezi kufunga muda mwingine wanatumia ishara za mikono weka mpira pale au anashika kichwa piga krossi ya kichwa..Wewe ndo unaongea kwa mihemuko
Sasa mtu anaingia uwanjani anakuwa mshauri wa kila mchezaji...
Kawa kocha?
Ahaa kwa hiyo kwenye mazoezi hawa kuongea eti?Yeye kaja kufunga kwa hiyo anataka viungo wake wampe pasi za mazingira gani kutokana na aina ya ukabaji wa mabeki forward yeyote asieongea hawezi kufunga muda mwingine wanatumia ishara za mikono weka mpira pale au anashika kichwa piga krossi ya kichwa..
Ahahahaha aisee wanasimba mnapenda kujifariji sana. Hama rafiki utakuja kulia zaidi msimu huuNamleta kwenu Benzema. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3647520
[emoji23][emoji23][emoji23] poleee mwayaa, inauma eeeh??Ahahahaha aisee wanasimba mnapenda kujifariji sana. Hama rafiki utakuja kulia zaidi msimu huu
Upo ni uzi wa rejea kwa kila mwanamichezo, saivi anajiita Kipenzi ChanguMbona si kuuona? Ila huenda walikua na presha ya game tu ngoja tusubiri tarehe 12
Ahaa sawa ngoja nuichekiUpo ni uzi wa rejea kwa kila mwanamichezo, saivi anajiita Kipenzi Changu