Kwa pamoja tuamke asubuhi na mapema tufanye ibada nzito kuiombea timu yetu(prevent ushirikina wa mikia)baada ya hapo tupate supu moto kabisa
Tukimaliza mida ya saa 6 tukutane sehemu zetu tupige maji ya kutosha.
Ikifika saa7 kila mtu ahakikishe anapendeza na uzi mkali wa njano na kijani tuwahi maeneo yetu mapema.
Hiyo siku tunataka kumnyoa mtu kwa chuma chenye kutu,namsisitiza tu kocha wangu amuanzishe aidha makapu au telela pamoja na busungu.
Tusisahau kushangilia ni kuanzia dk ya kwanza mpaka ya mwisho non stop.