Wana yanga tufanye mabadilikio ya kweli Jumamosi

Wana yanga tufanye mabadilikio ya kweli Jumamosi

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Kwa pamoja tuamke asubuhi na mapema tufanye ibada nzito kuiombea timu yetu(prevent ushirikina wa mikia)baada ya hapo tupate supu moto kabisa

Tukimaliza mida ya saa 6 tukutane sehemu zetu tupige maji ya kutosha.

Ikifika saa7 kila mtu ahakikishe anapendeza na uzi mkali wa njano na kijani tuwahi maeneo yetu mapema.

Hiyo siku tunataka kumnyoa mtu kwa chuma chenye kutu,namsisitiza tu kocha wangu amuanzishe aidha makapu au telela pamoja na busungu.

Tusisahau kushangilia ni kuanzia dk ya kwanza mpaka ya mwisho non stop.
 
canavaro ongoza jeshi katika mabadiliko ya kweli tunataka 6-0
 
Inshalaah nitakua mstari wa mbele kuhakikisha Mnyama anachinjwa hadharani
 
ni kweli yanatakiwa maombi ya nguvu maana simba sasa haipo chini ya kocha bali ipo chini ya wazee wao na hivi sasa kila mchezaji ananuka ndumba vibaya.
 
Ukiwa yanga bana kila unaposikia Simba unàtetemeka ila nawaomba mjiandae najua mnajua Simba aikikutana nà yanga kinàtokea nini kwa upande wa yanga..
 
Ukiwa yanga bana kila unaposikia Simba unàtetemeka ila nawaomba mjiandae najua mnajua Simba aikikutana nà yanga kinàtokea nini kwa upande wa yanga..

Wapo vibaya uoga hahaha
 
ni kweli yanatakiwa maombi ya nguvu maana simba sasa haipo chini ya kocha bali ipo chini ya wazee wao na hivi sasa kila mchezaji ananuka ndumba vibaya.

Mmeanza visingizio mapema
 
Ni vzr kujiandaa vizuri kisaikolojia kupokea matokeo yoyote ya uwanjani.
 
ndio natoka kufanya ibada ya nguvu muda huu,nna uhakika wale washirikina watashindwa
 
ndio natoka kufanya ibada ya nguvu muda huu,nna uhakika wale washirikina watashindwa

Ila Mkuu kumbuka Mungu ni wetu sote.. wewe umetoka kufanya ibada ya nguvu leo.. Mimi tangu jumatatu nafunga na kusali ili ndoto yangu ya Simba 5-0 Yanga iweze timia.. Na saa 10 ifike mapema.
 
Ila Mkuu kumbuka Mungu ni wetu sote.. wewe umetoka kufanya ibada ya nguvu leo.. Mimi tangu jumatatu nafunga na kusali ili ndoto yangu ya Simba 5-0 Yanga iweze timia.. Na saa 10 ifike mapema.

utapigwa tu maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom