Wana Yanga tuishabikie ndugu zetu Simba kwa faida yetu

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Salute kwa Simba mpaka walipofika.

Kusema kweli Simba ni club ya kutemela sana hata tz, wamefanya vizuri sana game zao hasa za hapa nyumbani. Ukilinganisha na sisi Yanga ambao tulipangwa kwenye kundi rahisi sana mwaka jana kwenye shirikisho. Japo Simba yupo kama underdog lakin tuwe kitu kimoja na tutoe support ya kweli.

Faida hii hapa. Kama Simba itasonga itakuwa ni mteremko kwa Yanga na Tanzania sababu tutaongeza tumu 1 kwenye michuano hii. Yanga ambao haipewi nafasi ya kuwa bingwa, Simba ikiwa bingwa Yanga ikashika nafasi ya pili moja kwa moja watagombea nafasi ya kushiriki club bingwa Afrika.

Vita club wanatumia jezi ya njano so wanayanga msivae jezi zenu ili kuondokana kama mashabiki wa Vita. Wote tuvae Nyekundu tu.
Asanteni karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnazidi kuweweseka!! Tangu lini shabiki wa Yanga akavaa nyekundu kisa mpinzani wa Simba ana kijani na njano?. Ninawasi wasi uana yanga wako, hatuna shabiki mbovu kama wewe. Hata ingekuwa ni Simba na Mbeya City B sishangilii Simba n'gooooo.

Barafu la moto
 
Itakuwa ni matumizi mabaya sana ya akili kama sio ukichaa, yani kuna jamaa aliwaitaga mbumbumbu hakukosea!!! Na huyu msemaji wenu tena mropoka hovyo kesho tunasubiri kikosi kipana.. Maana kitapanuka mbele ya VUMBI LA MKONGO[emoji619]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…