Wana Yanga tuishabikie ndugu zetu Simba kwa faida yetu

Wana Yanga tuishabikie ndugu zetu Simba kwa faida yetu

Hutaamini masikio na macho yako wakishinda huku mtaani hatutalala
 
So far
FB_IMG_15527432488636449.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki itawauwa wana Yanga,msiwe hivyo, kuweni na uzalendo kwa faida ya nchi na nyie kama nyie,au kwakua nyie hamjAwahi kufikia hatua hiyo simba waliofikia?? Leo Simba itawabeba na bado hamtaki, mnataka nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute kwa Simba mpaka walipofika.

Kusema kweli Simba ni club ya kutemela sana hata tz, wamefanya vizuri sana game zao hasa za hapa nyumbani. Ukilinganisha na sisi Yanga ambao tulipangwa kwenye kundi rahisi sana mwaka jana kwenye shirikisho. Japo Simba yupo kama underdog lakin tuwe kitu kimoja na tutoe support ya kweli.

Faida hii hapa. Kama Simba itasonga itakuwa ni mteremko kwa Yanga na Tanzania sababu tutaongeza tumu 1 kwenye michuano hii. Yanga ambao haipewi nafasi ya kuwa bingwa, Simba ikiwa bingwa Yanga ikashika nafasi ya pili moja kwa moja watagombea nafasi ya kushiriki club bingwa Afrika.

Vita club wanatumia jezi ya njano so wanayanga msivae jezi zenu ili kuondokana kama mashabiki wa Vita. Wote tuvae Nyekundu tu.
Asanteni karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya njoo muone huyu mamluki
Hiv ingekuwa ndo yanga vs vita hawa mikia wangetushangilia??
 
Kwanza wewe ni mamluki sio shabiki kindakindaki wa Yanga...


Yaani mimi huyo? nitoe vimiguu vyangu nikanunue jezi ya simba niishangilie? Huh, hata kama naumwa siwezi mara kumi nkashabikie misosi Fc kule ndondo cup

Waambie hao Simba hatudanganyiki...


Kila la heri AS VITA CLUB


Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Ndo maana mmeukalia Wa Lipuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom