OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tuende tukashitaki kwa Mama ama vipi...??Hii CAF nayo ni ya hovyo kabisa. Kwanini isisimamie suala la matangazo au kulazimisha timu/nchi kuonyesha jamii ili dunia nzima ione haki inavyotendeka? sasa wanaziachia clab zijiamulie kuna siku wachezaji watauawa uwanjani na hakuna ushahidi
mpira wa africa utokuja kuendelea milele kwa mambo kama ayaCAF ni chama Cha hovyo sana mpaka Leo hii watu hawataki kuonyesha mechi kwenye tv
kombe la washindi kivipi? akishatolewa jumapili huko kombe la washindi inabidi acheze mechi moja ya knockout na team yenye points za juu wakati wao wana 0.5 pointsYanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.
kwani mkuu nyie wageni wa michuano hii? kuanzia hatua ya makundi ndipo CAF na wadhamini wao wanaanza ku control mambo ya tv hatua za awali zimeachiwa teams kuuza copyrights wapate hela, kwa hiyo mechi ya dsm yanga walichukua pesa kwa azam, team ikikataa ni haki yake pia kama mechi yenu na rivers utd nigeria haikuonyeshwampira wa africa utokuja kuendelea milele kwa mambo kama aya
kwa maslahi ya nani?... weka live ili kila mtu aone
Wazungu hawakoseagi wanaposema Africa is dark continent wako sahihimpira wa africa utokuja kuendelea milele kwa mambo kama aya
Ha hahaaaHivi kwa mfano yaani mfano tukifungwa kwa sababu hawataonyesha live si tunaweza kurudi huku na kusema tumefunga? 🤣
Kama unafuatilia media za Sudan hasa page za Al hilal hakuna kitu wanaogopa kama kuja kufungiwa na CAF, muda wote wanahamasisha mashabiki wao kufuata sheria na kutovuka uzio kwenda kwenye uwanja.Wanathimba acheni kuhemkwa na pilipili ya shamba wenye game tumetuliaa hatuna shida
Imefika zamu yenu ndio mnaona caf wa hovyo, tulieni dawa iwaingie watani [emoji28][emoji28]CAF ni chama Cha hovyo sana mpaka Leo hii watu hawataki kuonyesha mechi kwenye tv
Sudan hakuna tension kama ya Misri, hatuna hofu nao kabisa, Tena Yanga inakwenda kucheza kwenye Ardhi ambayo watia nuksi wa Msimbazi hamna access napo.Imefika zamu yenu ndio mnaona caf wa hovyo, tulieni dawa iwaingie watani [emoji28][emoji28]
yanga ni team kubwa sana hata afrika ilistuka kutoa draw na team ndogo kama al hilal, hata wakitolewa wakaangukai shirikisho yanga watapangwa na kibonde kwenye knockout sababu wana points nyingi CAF ,maana vibonde wanapangwa na team heavy zenye points heavy kutafuta teams za kuangukia shirikishoSudan hakuna tension kama ya Misri, hatuna hofu nao kabisa, Tena Yanga inakwenda kucheza kwenye Ardhi ambayo watia nuksi wa Msimbazi hamna access napo.
Itakuwa ni show moja safi kabisa, wao wenyeww Al hilal wanasema kwenye preliminary wamepangiwa timu ngumu tupu tofauti na timu zingine.
imani yako ni potofu haina tofauti na kuamini ushirikinaYanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.
Wapigwe Tu TumechokaAcha wasionyeshe ili utopolo mkandwe Vizuri
Champion ni kwa tomu za waarabu, wanapokezana kuchukua kombenilishasema mapema kwamba Yanga wajiandae kisaikolojia na kombe la Shirikisho.. huku champon sio kwao
Swali sio zamu ya nin Dunia ya science and technology hutaki watu waonyeshe mpira live, wenzetu wanaenda mbele sis tunarudi nyumaImefika zamu yenu ndio mnaona caf wa hovyo, tulieni dawa iwaingie watani [emoji28][emoji28]