Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Ina maana watapapaswa makalio kizani???[emoji26][emoji26][emoji26]sjapenda kabisa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kuwa serious aisee! Hii Yanga ya sasa ni ya kufumuliwa magoli mengi kweli!! Yaani kama ile simba ya khamsa khamsa!!

Kwa taarifa yako, Yanga ya msimu huu ni tamu zaidi ikicheza viwanja vya ugenini, kuliko hata pale kwa Mkapa.

Mkuu samahani ..lini mlicheza kiwanja cha ugenini kimataifa??samahani lakini!
 
Mkuu samahani ..lini mlicheza kiwanja cha ugenini kimataifa??samahani lakini!
Hilo neno " kiwanja cha ugenini kimataifa" umeliongeza wewe.
Mimi nimesema "viwanja vya ugenini"!!!!!

Another question please....!!
 
mnaonaje mkijilinganisha na simba waliocheza na plateu utd nigeria tukawapiga kimoja cha triple c bila mechi kuonyeshwa kwenye TV????
kuanzia makundi ndiyo lazima mechi kuonyeshwa kwa hiyo tulieni hivyohivyo au kama vipi rusheni live kwa simu kam alivyofanya magori kule nigeria
Fact
 
Hivi kuna mchezaji gani pake wa Yanga unaweza kumtoa mchezoni kwa kumtishia nyau! Maana karibia wote wamecheza mashindano mbalimbali ya kimataifa!

Huo mchecheto wao, ni faida kwa Wananchi. Binafsi namuombea tu heri Kocha mwenzangu Nabi kupanga kikosi sahihi cha kumpa ushindi. Usawa huu unakubali vipi kufanyiwa figisu!
job ,mwamnyeto , Kibwana , feisal na takataka kibao
 
رفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF sihami Ng’o
 
Back
Top Bottom