Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio...
Porojo tu za karumekenge hizo! Usitudanganye hapa tutauona tu mnavyonyukwa magoli! Mnataka mkifungwa msingizie kuwa mlifanyiwa fujo kwa vile mpira haukuonyeshwa! Marefa, makamisaa na viongozi wengine wa kimataifa watakuwa pale kwa hiyo kipigo mtakachokula wala hakitakuwa na hujuma!