Wana Yanga wenzangu si tulikubaliana tutawapiga kama ngoma, sasa nini kimetokea?

Wana Yanga wenzangu si tulikubaliana tutawapiga kama ngoma, sasa nini kimetokea?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Vikao vyote tulivyokaa takribani mwezi mzima sote kwa pamoja tulikubaliana kuwa, hawa Wasudani bado wanajitafuta hivyo tutawapiga kama ngoma. Sasa nini kimetokea?


"IWE MVUA IWE JUA SUDANI HAWATOKI!"
 
FejogQpWAAIzUc4.jpeg
 
Nafikiria saa hizi wanavyoumia wanatamani mpira uanze tena zile nafasi alizokosa mayele afunge.Ila Mpira mapenzi na siasa siyo vya kuendekeza vinaumimiza sana
 
Tunaenda kupindua meza
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
 
Ubaya uarabuni hakuna meza...sasa sijui watapindua nini
 
Uwezo Wetu Umeishia Pale, Nawe Umejionea Mwenyewe
Hatuna Wa Kumlaumu Yoyote, Tunangoja Kichapo Sudan
 
Back
Top Bottom