Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Acha malalamiko subiri tar 23 mmalize hasira zenu kwa simba maana ndo mlichobakisha hchoMimi mashaka yangu kuna kitu kilifanyika dhidi ya Yanga kwenye game ya kwanza pale kwa mkapa... Kuna watanzania walilisaliti Taifa na kuifanyia hujuma Yanga... Tuwaite wahaini, watafutwe washughulikiwe... Ikiwezekana timu yao isishinde game yoyote ifuatayo pale kwa mkapa
Uhaini ndo mnauona leo?.toka mnawakaribisha wageni na kuvaa kabisa tishet zao mlikua mnahujumu mbuzi?.sasa mkae kwa kutulia dawa ndo kwanza ni siku ya kwanza.Mimi mashaka yangu kuna kitu kilifanyika dhidi ya Yanga kwenye game ya kwanza pale kwa mkapa... Kuna watanzania walilisaliti Taifa na kuifanyia hujuma Yanga... Tuwaite wahaini, watafutwe washughulikiwe... Ikiwezekana timu yao isishinde game yoyote ifuatayo pale kwa mkapa
Mbona mnawapa vichwa hawa.?mnakubalije kwamba wataifunga Simba?.simba hiii hii ya Juma Mgunda?.Acha malalamiko subiri tar 23 mmalize hasira zenu kwa simba maana ndo mlichobakisha hcho
Hauwezi kutatua matatizo yako kwa kujidanganya kuwa hayapo.Mimi mashaka yangu kuna kitu kilifanyika dhidi ya Yanga kwenye game ya kwanza pale kwa mkapa... Kuna watanzania walilisaliti Taifa na kuifanyia hujuma Yanga... Tuwaite wahaini, watafutwe washughulikiwe... Ikiwezekana timu yao isishinde game yoyote ifuatayo pale kwa mkapa
Me nashangaa sana hizi kauli zao, Yanga hatoki hiyo tarehe 23.Mbona mnawapa vichwa hawa.?mnakubalije kwamba wataifunga Simba?.simba hiii hii ya Juma Mgunda?.
Kilichowakost Yanga ni kukubali kuw wao hawatoboi kimataifa yani ile external force ya maneno imeidhuru nafsi hivyo Simba muikatae hii ya kwamba utopolo atawafunga kila siku muikataee na kuikemea hiyo roho chafu
Lazima tuwafariji wasije wakajinyonga bado tunawahitaji wakati huo tp mazembe anawasubiriaMbona mnawapa vichwa hawa.?mnakubalije kwamba wataifunga Simba?.simba hiii hii ya Juma Mgunda?.