Hapo awali, Mungu alimuumba mtu mkamilifu, mwenye uwezo wote. Mwanadamu akaanguka kutoka katika utukufu ambao Mungu alimuweka. Anguko hili lilimfanya mwanadamu aanze kuzitumia na kuzitegema akili zake. Watu tulipaswa kuyafanya hayo yote bila kulazimika kutumia akili. Ilikuwa ni swala la kuwaza tu, kisha inakuwa! Tusingekuwa "limited" na space, time and energy. Tusingejisifia akili, hata kidogo! Tusingewasifu wazungu hata kidogo! Maana hili ni anguko. Ujisifie anguko????
Laiti tungeweza kurudi katika hali aliyokuwa nayo Adamu kabla ya anguko, ungeshangaa sana! Kila kitu kingewezekana kwa urahisi wa ajabu sana. KILA KITU!.
YESU NI MWOKOZI.