wanaangalia ngoma au kuna kingine?

wanaangalia ngoma au kuna kingine?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Juzi kuna rafiki yangu alipata ajira jeshi la polisi lakini ikawa lazima apimwe damu kwanza..akafanya hivyo..lakini baada ya wiki kadhaa kupita hakuitwa kazini ilihali wenzie waliitwa kazini...akapatwa na wasiwasi labda ni vile vipimo...akaamua aende akacheki afya yake na alinishirikisha..akakuta negative...sasa nikajiuliza walitumia vigezo gani kumtosa kazi maana kazi ilikua haina ufisadi mojakwa moja umepata....then nikajiuliza au kuna vitu gani vingine wanachek kwenye hiyo damu kama mnafahamu...tofauti na hiv kwa mnaofahamu plz nijulisheni nimpe jamaa madata
 
Miye siyo mwanajeshi ila nadhani vigezo vyao pamoja na kupima damu, huwa wanaangalia urefu, makovu makubwa, mshono kama alishawahi fanyiwa operation na kama amejichora/maandishi mwilini (michoro)

nawakilisha mkuu
 
wanaangalia pia moyo, ngiri, shape ya mguu(Nyayo) na vitu vingine vingi tu
 
pia wanakuinamisha kuangalia kama marinda yashachanwa au la!
 
wanaangalia pia moyo, ngiri, shape ya mguu(Nyayo) na vitu vingine vingi tu

wanaangalia kama mguu una mvungu au hauna...... au ni nini hasa?....polisi bana
 
Wanaingiza kidole kwenye nnya kisha unaambiwa ubane kisha anakitoa kwa nguvu kujua kama umelegezwa ama la! ukiwa umekuwa suspected kuwa umelegezwa wanakupeleka kwenye kipimo kikubwa zaidi.
 
hivi kuna jinsi ya kugundua kama mtu amelegezwa kwa kutumia kipimo cha damu?maana ayo yote ya kuingiziwa cjui nini hakufanyiwa kabisa.........walichukua kipimo kikubwa tu basi
 
Back
Top Bottom