Wanaccm (Diaspora) walaani kauli za Antony Diallo

Wanaccm (Diaspora) walaani kauli za Antony Diallo

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Matamko dhidi ya mwenyekiti wa CCM Mwanza kuhusu kauli zake zilizomdhalilisha Hayati Magufuli zimeendelea kutolewa.
Wana Diaspora wanetoa tamko.

IMG-20210712-WA0174.jpg
 
Napendekeza iboreshwe maana inaweza kumtibu "KICHAA" na baadaye akawa Rais wa nchi.
Itaboreshwa kwani ni sehemu ya kuboresha miundimbinu ya afya.
 
Nashangaa Diallo bado ni kiongozi ndani ya CCM. Baada ya interview ile alipaswa kupewa adhabu mara moja otherwise utabakia mfano mbaya sana.
 
Nashangaa Diallo bado ni kiongozi ndani ya CCM. Baada ya interview ile alipaswa kupewa adhabu mara moja otherwise utabakia mfano mbaya sana.
Wadau tumezama chimbo kutafuta faili hata kama lilitafunwa na panya tutalileta hivyo hivyo likiwa vipisi.
 
Back
Top Bottom