Wanaccm (Diaspora) walaani kauli za Antony Diallo

Wanaccm (Diaspora) walaani kauli za Antony Diallo

Matamko dhidi ya mwenyekiti wa CCM Mwanza kuhusu kauli zake zilizomdhalilisha Hayati Magufuli zimeendelea kutolewa.
Wana Diaspora wanetoa tamko.

View attachment 1850933
Asante kwa maoni yenu wabeba box msioridhika na mkipatacho huko mkitarajia hisani uteuzi.
Ukweli kwenu mwiko!?
 
Asante kwa maoni yenu wabeba box msioridhika na mkipatacho huko mkitarajia hisani uteuzi.
Ukweli kwenu mwiko!?
kaka mimi nimewasilisha tu.sio mbeba box.
 
Itaboreshwa kwani ni sehemu ya kuboresha miundimbinu ya afya.
Ilimtibu rais kichaa wa ccm
tapatalk_1625995405540.jpeg
 
Diaspora wa CCM
Tunataka miniti za kikao chenu na sahihi,pia muambatanishe na picha zenu.
Vinginevyo tunahesabu ni KIPEPERUSHI cha kauli yenu.
Mhimili wetu unataka utaratibu.
OK?
 
Nimemsikiliza Anthony Diallo!!! kweli huyu mwenyekiti wa mwanza akili yake haiko vizuri, kweli binadamu siyo wa kumwamini sana aisee! Kamnanga JPM vibaya mno
 
CCM mkiambiwa mliteuwa kichaa ndiyo kuua chama?
Ukichaa hatakwepa.
Alipoingia Ikulu tu akasema amekuta kuna mambo ya ajabuajabu,ya ovyoovyo.
Means waliomtangulia waovyo.
Isengekuwa kinga ya wastaafu yule jamaa angewafunga kwa maagizo.
Mtu umekula kiapo cha urais then unatoa siri za uliyoyakuta( wewe sio kichaa?)

Diallo atakumbukwa kuliko mwenda zake
 
Waambieni wajikite kuboresha Hospitali ya "VICHAA" ya Mirembe maana kwa mara ya kwanza imetoa kitu hadimu.
Watarekebisha tu bwashee maana tundu lisu bado anahitaji tiba hiyo.
 
Back
Top Bottom