WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

Mimi ni CCM ila nakubaliana na Chadema mambo mengi ya kisera na CCM tumenakili kutoka kwao tatizo ni kwamba ni vigumu kuwaachia madaraka kila chama kinataka kiuishika ikulu.
Sawa msiachie madaraka lakini kwanini msifanye utawala Bora?
Kwanini msilindw rasilimali zetu?

Sawa msiachie madaraka lakini kuweni basi wazalendo
 
Hakuna mwenye nafasi ya kuhwngaika na chama ambacho kimejifia cdm ndo wanapqmbana na ccm
 
Mimi ni CCM ila nakubaliana na Chadema mambo mengi ya kisera na CCM tumenakili kutoka kwao tatizo ni kwamba ni vigumu kuwaachia madaraka kila chama kinataka kiuishika ikulu.
Nadhani ifike mahali tulipende taifa letu zaidi ya vyama. Hapo ndipo tutakuwa salama. Kwanini watu wa mfumo wasiiandae CHADEMA kuwa mbadala wa CCM? Ili wananchi wakiichoka CCM CHADEMA iingie madarakani kwa kura bila vurugu na umwagaji wa damu?
 
Au la lengo la maendeleo katika taifa siyo kuwa na vyama vingapi bali utendaji makini na wa uadilifu jumlisha uzalendo sasa Hawa CCM huwa najiuliza kama wanainajisi hivi Tanganyika je ni taifa gani wanalolipaginia badala yake?
 
Ccm ni chama cha mazayuni lakini wema wapo hawana sauti wanahofia kula yao na familia zao.
 
Pesa zinapigwa kule wao wanashambulia chadema.....What a missed target?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…