Wanaccm tukumbuke kulipia kadi zetu za uanachama, tuonyeshe vitendo na mifano kwa vyama vingine!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU:

Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu.

Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao ya simu ifuatayo;

1. M-Pesa
2. Tigo-Pesa
3. Airtel-Money
4. CRDB SimBanking

"Tulipe Ada, Kuwa Mwanachama hai na Tuzidi kuimarisha Chama chetu."

#CCMDigital #VitendoVinaSauti🇹🇿
#TunaendeleaNaMama
 
Ilipwe ili zikaliwe. Yaaani vitega uchumi mlivyo dhulumu bado haitoshi mnaparura "wanyonge" wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…