Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM.
Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahau Arusha.
Wamesema hawa viongozi wa Chadema kazi yao ni kugombana tu,wanatuchanganya akili.
Hawana reform yoyote wanayotaka kufanya,wanataka tu kutupotezea muda,tumeamua ' kurudi nyumbani "
Hao watu viongozi wa Chadema hawana maarifa,hawana basic skills za kujenga Chama, au kuiongoza organization yoyote. Ni kupoteza muda kubaki Chadema.https://youtu.be/fMqnJCne7Bk?si=S6J_9-DbY14d_xHw