Wanachadema 50 Arusha wahamia CCM

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM.
Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahau Arusha.

Wamesema hawa viongozi wa Chadema kazi yao ni kugombana tu,wanatuchanganya akili.

Hawana reform yoyote wanayotaka kufanya,wanataka tu kutupotezea muda,tumeamua ' kurudi nyumbani "

Hao watu viongozi wa Chadema hawana maarifa,hawana basic skills za kujenga Chama, au kuiongoza organization yoyote. Ni kupoteza muda kubaki Chadema.https://youtu.be/fMqnJCne7Bk?si=S6J_9-DbY14d_xHw
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Mambo ya kizamani sana haya.
 
Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM.
Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahau Arusha.
Wametazama rangi za paka badala ya uwezo wa paka kuwinda panya
 
Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM.
Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mambo ya kizamani kuhama vyama,
 
Hizo ndo siasa za kijinga za ccm
 
Anajaribu kutuhamisha kwenye mjadala wa kitaifa pia kimataifa, ilhali wenzake wote hadi akina Mwashambwa WANABUBUJIKWA wakiwa kwenye mjadala wa CDM.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah acha wale posho siku kuu hii lazima watengeneze kazi za kujipatia fwedha
 
Lucas Mwashambwa wa kizanaki katika ubora wako.
 
Wangapi wa chawa wamehamia Chadema?
 
Walikuwa wanasema Magufuli ndiye alikuwa anawanua, Sijui zigo hili Sasahivi wanambebesha yupi maana mbeba mabaya yote hayupo;tuliwaambia humu chadema ilikuwa inajengwa na Dkt Slaa,baada ya tamaa za Mbowe kumfukuza Slaa na kumleta Lowassa ndio ulikuwa mwisho wa chadema,tunasubiria Mbowe na Lissu wagawane mbao uwe mwisho wa chadema 2025 sijui kama chadema itapata hata mbunge mmoja,wakimpata washukuru Mungu, Maana Sasahivi chadema inaelekea kibla,yangu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…