Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Acha uongoSiasa ndivyo zilivyo...
Katiba bora haipatikani bila kuchapana. Mtawala anaandikaje katiba bora wakati hakuna anayemtisha??,tatizo hapa ni katiba mbovu ndio maana kuna hili tatizo, pigania katiba bora ili iondoe tatizo kama hili
Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa
Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.
Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa
Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge
Middle class wa kitanzania nini kimewafika?,why ukiona tatizo usifanye push back mwenyewe?,why unategemea upiganiwe haki zako?,tatizo hapa ni katiba mbovu ndio maana kuna hili tatizo, pigania katiba bora ili iondoe tatizo kama hili
ikitokea hadema wakisusia Uchaguzi Mkuu wa 2025 ( ngumu sana kususia) wale Wanasiasa maarufu wa Chama hicho wataelekezwa kuhamia Chama kingine ili wapewe Ubunge katika yale majimbo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya Wapinzani …Makamanda wapo kwny mtihani mzito
Wewe ni uvccm achana kabisa na mambo ya ChademaYaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa
Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.
Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa
Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge
Chadema walishanasa kwenye ndoano ni ngumu Sana kujinasua,ikitokea hadema wakisusia Uchaguzi Mkuu wa 2025 ( ngumu sana kususia) wale Wanasiasa maarufu wa Chama hicho wataelekezwa kuhamia Chama kingine ili wapewe Ubunge katika yale majimbo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya Wapinzani …Makamanda wapo kwny mtihani mzito
Umemsikia Katibu Mkuu wa CCM akisema kwa kujiamini kuwa Chama chake kinataka katiba bora, kitu gani hujaelewa hapo. Kimsingi anatuma ujumbe kuwa Katiba iliyopo inatakiwa kufanyiwa maboresho. Kati yetu - mimi na wewe na wengi wetu kwenye jukwa hili - nani mwenye uelewa mpana ikilinganishwa na KM wa CCMKatiba mbovu kwenye mambo gani?
Katiba ya sasa inamambo gani ya hovyo kwenye maisha yako?
Katiba ya sasa inakunyima Uhuru wa kufanya mambo gani?
Katiba ya sasa inaninyima uhuru wa kuishitaki serikali ninapoona haki yangu imeminywa na serikali, katiba ya sasa inaminya uhuru wangu wa freedom of expression, kwenda ninakotaka kwenda hapa duniani, katiba ya sasa inafanya haki mahakamani isiwe ya haki maana hizi mahakama ni mhimili mdogo wa serikali, maadui wa ujinga, umasikini na maradhi bado wanalindwa na katiba maana huwezi kuifanya serikali iwajibike, katiba ya sasa inampa kila mtawala arresting power, kazi ambayo ni ya police tu, katiba ya sasa imechochea rushwa mno (riziki yangu ninaipata mno barabarani na rushwa iliyopo huko inalindwa na katiba ya sasa)Katiba mbovu kwenye mambo gani?
Katiba ya sasa inamambo gani ya hovyo kwenye maisha yako?
Katiba ya sasa inakunyima Uhuru wa kufanya mambo gani?
Agreed, ni lazima nifanye push back kudai katiba boraKatiba bora haipatikani bila kuchapana. Mtawala anaandikaje katiba bora wakati hakuna anayemtisha?
Maneno ya kuambiwa changanya pia na akili zako. Ukiendekeza maneno ya vijiweni utaishia kumlaumu kila mtu hata kama mwenye udhaifu na mapungufu ni wewe mwenyewe.Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa
Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.
Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa
Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge
Katiba ya sasa inaninyima uhuru wa kuishitaki serikali ninapoona haki yangu imeminywa na serikali, katiba ya sasa inaminya uhuru wangu wa freedom of expression, kwenda ninakotaka kwenda hapa duniani, katiba ya sasa inafanya haki mahakamani isiwe ya haki maana hizi mahakama ni mhimili mdogo wa serikali, maadui wa ujinga, umasikini na maradhi bado wanalindwa na katiba maana huwezi kuifanya serikali iwajibike, katiba ya sasa inampa kila mtawala arresting power, kazi ambayo ni ya police tu, katiba ya sasa imechochea rushwa mno (riziki yangu ninaipata mno barabarani na rushwa iliyopo huko inalindwa na katiba ya sasa)
Katiba mbovu kwenye mambo gani?
Katiba ya sasa inamambo gani ya hovyo kwenye maisha yako?
Katiba ya sasa inakunyima Uhuru wa kufanya mambo gani?