WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

Naamini lissu hatakubali upuusi wa maridhiano , hanunuliki
 
Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa

Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu.

Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa

Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge
Sasa hata hao wabunge hamtapata
 
Sasa hata hao wabunge hamtapata

..unafikiri watakaodhulumiwa ni Chadema, au vyama mbadala peke yao?

..wakimalizana na vyama mbadala watakuja kuwadhulumu mlioko Ccm.

..hakikisha huko Ccm uko katika "kambi pendwa" vingenevyo hutapata nafasi yoyote.
 
..kamuulize Samia, na Chongolo, maana wamejitokeza na kusema wanataka Katiba Mpya.


Wanataka katiba mpya because ya presha Tu za watu but katiba ya sasa ni best katiba
 
Back
Top Bottom