WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

Naamini lissu hatakubali upuusi wa maridhiano , hanunuliki
 
Sasa hata hao wabunge hamtapata
 
Sasa hata hao wabunge hamtapata

..unafikiri watakaodhulumiwa ni Chadema, au vyama mbadala peke yao?

..wakimalizana na vyama mbadala watakuja kuwadhulumu mlioko Ccm.

..hakikisha huko Ccm uko katika "kambi pendwa" vingenevyo hutapata nafasi yoyote.
 
..kamuulize Samia, na Chongolo, maana wamejitokeza na kusema wanataka Katiba Mpya.


Wanataka katiba mpya because ya presha Tu za watu but katiba ya sasa ni best katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…