KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!.
Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..?
Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura ziamue nani awe mwenyekiti wenu acheni kurukaruka!..
Mbona sisi chauma wazee wa ubwabwa hatukati tamaa..?😂
Au na nyinyi hamujiamini kuwa chaguzi zenu ni huru na haki..?😅