Ndio maana wengine wetu tukaamua kuwa Nyuturo hatutaki mambo ya Vyama tunasimama na Nchi Mama Tanzania πΉπΏ in Mbatia voice πππ€Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!.
Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..?
Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura ziamue nani awe mwenyekiti wenu acheni kurukaruka!..
Mbona sisi chauma wazee wa ubwabwa hatukati tamaa..?π
Au na nyinyi hamujiamini kuwa chaguzi zenu ni huru na haki..?π