Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola?
Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua?
Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa hiyo hata chuki kwa hayati JPM ni sababu alinyimwa madili ya kisiasa tu na analeta chuki.
Leo hii mnamuunga mkono kisa tu anamchafua hayati JPM? Msaliti ni msaliti tu.