Zitto hajaungwa mkono kwenye huo usaliti wake bali ameungwa mkono kwenye ukweli aliosema kuhusu ufisadi aliofanya magufuli.
Kama umemind nenda kagale-gale kwenye kaburi la huyo muovu.
Hivi ni kwanini MaUvccm yako shallow kwenye kufanya reasoning namna hii???