Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani omeona hatimiliki ya upande upi?FAM ni mali ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani omeona hatimiliki ya upande upi?FAM ni mali ya CCM
kwa kukukumbusha tu state hiyo hiyo ilipambana kumkwamisha mwabukusi bado hicho kikundi cha watu 30 kikapindua mezaState inaweza kuhakikisha FAM anashinda sio?
Kwani kazi ni siasa pekee ? Hata Mbowe akipora ushindi ajue chadema yake na Dalali wenje inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya LipumbaTarehe 22 Lissu anakuwa mwanachama wa kawaida wa ngazi ya tawi.
Mbowe uchaguzi huru na haki hawezi kumshinda Lisu ni uchakachuaji pekee ni wozi wa kura pekee utampa Mbowe masimango na Dalali wenje ushindi, pesa alizoiba Mbowe sasa zinatumika kuununua uenyekiti kwa njia haramuLissu kwa mbowe tena? Nani atampa kura lisssu ndani ya chadema? Chama chao hawakitaki tena?
Baharia imara hujulikana wakati wa dhoruba.Wanaojiita Watanzania waishio nje ya nchi wametangaza kutoa takrima kwa yeyote atakayeripoti habari ya kinachoitwa rushwa kuelekea Mkutano Mkuu wa Chadema Januari 21
Katika Tangazo linalosambazwa limeandikwa;
Ndugu Mjumbe, Mwanachama na mwananchi mpenda haki na Mabadiliko:
Fichua vitendo vya Rushwa kwenye Uchaguzi wa Tarehe 21 kwa kutuma ushahidi wa Rushwa kupitia WhatsApp no. ***************
Kiwango cha rushwa utachopewa utarejeshewa mara mbili kama zawaidi ya Ujasiri wako wa kutetea HAKI
Kampeni yetu ina discourage rushwa kwa namna yoyote. Tunataka viongozi wachaguliwe kwa vigezo, sio rushwa. DIASPORA tumetoa motisha kwa mtu yoyote atakaye tuletea ushahidi wa rushwa usio na shaka, atapewa zawadi. Tutampa mara mbili ya malipo ya hiyo rushwa. #KataaRushwa #SayNoCorruption
Mwisho wa Tangazo
Tangazo hili halina maana yoyote zaidi ya kutaka kuleta uasi, hofu kwa wanachama na kuchochea rushwa ili mgombea wanayemtaka apate kura kwa njia haramu.
Wanachama wa Chadema na wajumbe wa mkutano Mkuu wameshangazwa na jinsi kikundi hicho cha watu wanaojiita Diasspora kinavyotapatapa kujiingiza katika uchaguzi wa Chadema
Kinachozidi kushangaza ni kwamba atakayeripoti kwao rushwa kikundi hicho kitamrudishia mara mbili kitu ambacho pia ni rushwa.
Akizungumza na Taifa leo asubuhi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema kuna kikundi cha watu 30 kinachojiita Diasspora na kinatumika kutukana Chama mitandaoni kuanzia asubuhi hadi jioni.
Haijajulikana lengo hasa la kikundi hiki ni nini, na wana maslahi gani katika mbinu wanazotumia kutaka kuteka Chadema kupitia mlango wa nyuma.
Kikundi hiki mpaka sasa mbali na kutumia mitandao kutukana Chadema na viongozi wake lakini pia wamekuwa wakifadhili na kurubuni baadhi ya wanachama mikoani kutangaza wanamuunga mkono Tundu Lissu na kumkashifu Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbali na hujuma mbalimbali zinazofanyika mpaka sasa tathmini inaonyesha Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe anatarajiwa kupata ushindi wa kati ya asilimia 60% mpaka 70% ya kura.
Umeeleza jambo kubwa sana.AsanteHao diaspora wenye muda kupigizana makelele na siasa za bongo almost ni jobless.
Mtu aliye busy na kazi +family hawezi kushabikia ujinga wa politiki za huku kipawa.
Endeleeni kudanganywa, Lissu atakula chake anayeyuka.
Wanajuana hao, vingine hadithi tu.
Hakika, jamaa ni mgombea wa sa100.FAM ni mali ya CCM
Kama wanachadema wataamua kupitia sanduku huru la kura na iwe hivoTarehe 22 Lissu anakuwa mwanachama wa kawaida wa ngazi ya tawi.
Inasikitisha Sana, Leo chadema wanaomba wimbo uleule wa ccm, wakiambiwa mambo ya rushwa, let ushahidi, Sijui nn.Dah pole Sana, endeleeni kukomaa shingo...Mleta mada na Chawa wa Mbowe wote mna upeo mdogo sana wa kimawazo. Mnatafuta namna ya kuwagawa watu ili kuzuia nguvu ya mabadiliko ndani ya Chadema.
Diaspora wakisema wanapamba na rushwa kwa vitendo, nyinyi mnaumia nini?
Diaspora wanaodaiwa 'kutukana' mitandani, 'matusi' yao yanawezaje kuteka Chama?
Kwanini Diaspora wachukiwe sasa baada ya kusema wanamuunga mkono Lissu?
Haahaa eti wenje atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na maadili chadema😂😂Kwani kazi ni siasa pekee ? Hata Mbowe akipora ushindi ajue chadema yake na Dalali wenje inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba
Asante kwa kumbukumbu.kwa kukukumbusha tu state hiyo hiyo ilipambana kumkwamisha mwabukusi bado hicho kikundi cha watu 30 kikapindua meza