Wanachadema wakataa chama chao kutekwa na kikundi cha Diasspora

Lissu kwa mbowe tena? Nani atampa kura lisssu ndani ya chadema? Chama chao hawakitaki tena?
Mbowe uchaguzi huru na haki hawezi kumshinda Lisu ni uchakachuaji pekee ni wozi wa kura pekee utampa Mbowe masimango na Dalali wenje ushindi, pesa alizoiba Mbowe sasa zinatumika kuununua uenyekiti kwa njia haramu
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine sasa ataiba kura apore ushindi wa lisu, wizi wa mbowe hautaishia kwenye pesa ya chadema peke yake ni mwizi wa kila kitu
 
Mbowe ametengeneza kamati nyingi za hovyo kwa ajili ya kumhujumu kumdhoofisha Lisu na kikukwa na kipaumbele ni kupora ushindi wa Lisu kwa kuiba kura kufanya uchakachuaji mapema ni vikundi vinalipwa pesa nyingi na mbowe kupitia zile pesa alizoiba kwenye Hazina ya chadema, angalau sasa chawa nao wanalula pesa za wizi wamezigawana tofauti na mwanzo mbowe alikuwa akila peke yake
 
Chawa wa mbowe wanamshukuru Lisu kwa pressure yake kwa mbowe kwani imewaletea ulaji toka kwa mbowe, kwani bila pressure za lisu wasingekuwa wanakula pesa za wizi toka kwa mbowe
 
Baharia imara hujulikana wakati wa dhoruba.

Sasa Kuna baharia anaepigiwa vuvuzela alikimbia wakati wa dhoruba,mwenzie aliyekituliza chombo eti anaonekana hafai.

Wanampima Lisu wakati wa amani aliyotuliza Mbowe na Samia harafu wanaojiita viongozi 🀣🀣
 
Hao diaspora wenye muda kupigizana makelele na siasa za bongo almost ni jobless.
Mtu aliye busy na kazi +family hawezi kushabikia ujinga wa politiki za huku kipawa.
Endeleeni kudanganywa, Lissu atakula chake anayeyuka.
Wanajuana hao, vingine hadithi tu.
 
Umeeleza jambo kubwa sana.Asante
 
Lissu ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mleta mada na Chawa wa Mbowe wote mna upeo mdogo sana wa kimawazo. Mnatafuta namna ya kuwagawa watu ili kuzuia nguvu ya mabadiliko ndani ya Chadema.

Diaspora wakisema wanapamba na rushwa kwa vitendo, nyinyi mnaumia nini?
Diaspora wanaodaiwa 'kutukana' mitandani, 'matusi' yao yanawezaje kuteka Chama?
Kwanini Diaspora wachukiwe sasa baada ya kusema wanamuunga mkono Lissu?
 
Inasikitisha Sana, Leo chadema wanaomba wimbo uleule wa ccm, wakiambiwa mambo ya rushwa, let ushahidi, Sijui nn.Dah pole Sana, endeleeni kukomaa shingo...
 
Kwani kazi ni siasa pekee ? Hata Mbowe akipora ushindi ajue chadema yake na Dalali wenje inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba
Haahaa eti wenje atakuwa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na maadili chademaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…