Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wametoka kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa siku tatu kwa madai ya kufanya mkusanyiko iliyo kinyume cha sheria.
Soma Pia: Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa BAVICHA kwa Mkusanyiko Usio Halali
Soma Pia: Polisi Kilimanjaro Wawashikilia Watuhumiwa 18 akiwemo Kiongozi wa BAVICHA kwa Mkusanyiko Usio Halali