WanaCHADEMA wamethibitisha dhahiri kuwa wao na chama chao ni CCM B

WanaCHADEMA wamethibitisha dhahiri kuwa wao na chama chao ni CCM B

tena kuna kila dalili baada ya mamayenu kukimbizwa madarakani na wana mtandao wa kifisadi mgomgea wenu atakuwa anayefuata ni membe au rizione, yaani nyie Sukuma gang ni wakuja na washamba flani…...

Na nyie mgombea wenu wa chadema ni nani atakua[emoji1787][emoji1787]
 
Nimegundua juzi kumbe kuna wanaojiita "wapinzani" lakini wana vikundi vyao wanavipenda ndani ya CCM, "wapinzani" wanakwambia heri huyu kuliko yule wanasahau hao wote wanatoka CCM, bado tuna safari ndefu sana.
Hata mimi nawashangaa sana CHADEMA. Chadema ikifika wakati wa uchaguzi huvurugana wao kwa wao na washabiki wao. mwaka 2020 walimleta mtu aliyefukuzwa CCM kuwa mgombea wao. Jiulize kwa nini muda wote hawakuwa na mgombea wao? halafu Tundu lisu anailaumu serikali kwa yaliyotokea Kibiti na Kilwa. Huyu jamaa akiwa raisi sijui atapiganaje na magaidi wa Al Shabibu au Islamic State. watanzania tuje muuliza Lisu , yeyey akiwa raisi wa tanzania atapiganaje na magaidi wakiivamia nchi kama ilivyokuwa Kibiti na Kilwa?
 
Back
Top Bottom