Kulikuwa hakuna haja maana hawakuwa na madhara, ila unajua mkurupuko wa mamlakaHivi Hawa Wangepewa Nafasi Ya Kusherehekea Woman Day Kwa Ustaarabu Bila Police Kuwakamata Naamini Kusingetokea Uvinjifu Wowote Wa Amani
POLICE Wanawapa Kick Hao Bawacha
Bila kutumia mbwembwe za ujuzi na umahili wa kupiga mabomu mambo yasingenoga na Lucas Mwashambwa angekosa cha kuandika.Kwani wangewaacha, wakakusanyika, wakawalinda (iwapo ilikuwa ni lazima), wakapiga vigelegele na makofi Kisha saa 12jioni wakawatawanyika na kwenda kulala zao, hao Polisi na Samia wao wangepungukiwa nini...?
Hii yote ni woga na hofu ya CCM na serikali yao haramu kwamba, CHADEMA ingepaa na pengine katika hotuba zao wangekuwa wanaikosoa serikali na kumsema vibaya Rais wao muuaji Samia Suluhu Hassan...!
Very stupid government...!