PreGE2025 Wanachama 54 CHADEMA Morogoro Vijijini wahamia CCM, wakabidhiwa Kadi na Amos Makalla

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wanachama 54 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Morogoro vijijini wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Wanachama hao wamerejesha kadi za CHADEMA na kukabidhiwa kadi za CCM na katibu wa NEC itikadi, siasa na mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Fulwe Kata na tarafa ya Mikese wilayani Morogoro mkoani Morogoro mmoja wa waliokuwa wanachama wa CHADEMA

waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM Suleiman Chanzi amesema ameamua kujiunga na CCM kutokana na kutounga mkono sera na ajenda ya No Reform, No Election hivyo haoni sababu ya kuendelea kuwepo kwenye chama hicho.

Wanachama 54 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Morogoro vijijini wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Wanachama hao wamerejesha kadi za CHADEMA na kukabidhiwa kadi za CCM na katibu wa NEC itikadi, siasa na mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Fulwe Kata na tarafa ya Mikese wilayani Morogoro mkoani Morogoro mmoja wa waliokuwa wanachama wa CHADEMA

waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM Suleiman Chanzi amesema ameamua kujiunga na CCM kutokana na kutounga mkono sera na ajenda ya No Reform, No Election hivyo haoni sababu ya kuendelea kuwepo kwenye chama hicho.

Wamwtekeleza Haki yao ya kikatiba na ya Kidemokrasia ambayo Wapenda Haki Tumekuwa tukiipigania kila siku.
 
Hizo ni siasa za kizamani, zilipitwa na wakati
 
Huyu makala ana CPA kweli jamani?
Mbona kama anayoafanya na shule yake ni tofauti kabisa!
Vile virus vya EBOLA na MPOX Vilishanunuliwa? Viko wapi sasa! Nani kamuambukiza nani
 
Wanachama 54 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Morogoro vijijini wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Wanachama hao wamerejesha kadi za CHADEMA na kukabidhiwa kadi za CCM na katibu wa NEC itikadi, siasa na mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Fulwe Kata na tarafa ya Mikese wilayani Morogoro mkoani Morogoro mmoja wa waliokuwa wanachama wa CHADEMA

waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM Suleiman Chanzi amesema ameamua kujiunga na CCM kutokana na kutounga mkono sera na ajenda ya No Reform, No Election hivyo haoni sababu ya kuendelea kuwepo kwenye chama hicho.
View attachment 3326237
WanaCCM waliokuwa wanachama bandia wa CDM hatimaye wamerejea rasmi chamani.
 
Back
Top Bottom