GE2025 Wanachama CCM Makambako "Haki itendeke tupate majina tuliyoyachagua"

GE2025 Wanachama CCM Makambako "Haki itendeke tupate majina tuliyoyachagua"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM Halmashauri ya mji Makambako wameiomba kamati kuu ndani ya chama hicho irejeshe majina ya watiania wa nafasi ya Ubunge na Udiwani wale wanaohitajika na wananchi ambao wamepigiwa kura za maoni ni si vinginevyo. Wameeleza hayo mara baada ya kukamilika na kwa zoezi la kura za maoni za wajumbe ndani ya chama hicho.
 
Back
Top Bottom