Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM Halmashauri ya mji Makambako wameiomba kamati kuu ndani ya chama hicho irejeshe majina ya watiania wa nafasi ya Ubunge na Udiwani wale wanaohitajika na wananchi ambao wamepigiwa kura za maoni ni si vinginevyo. Wameeleza hayo mara baada ya kukamilika na kwa zoezi la kura za maoni za wajumbe ndani ya chama hicho.