Wanachama na wapenzi wa Yanga wamlilia Manji leo

Wanachama na wapenzi wa Yanga wamlilia Manji leo

Song il gok

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
878
Reaction score
938
Wanachama wa yanga wamekubaliana rasmi kumbembeleza mwenyekiti wao kipenzi bwana Yusuf Manji aachane na mpango wake wa kujiuzulu.
Angalia video hii



 
Wadau
Fuatilia jinsi wanachama wanavyomkubali mwenyekiti wao. Hizi chokochoko tunatakiwa tusizikubali kabisa.

 
Wanachama na wapenzi wote wanawake katika klabu ya yanga wametoa haya ya moyoni kuhusu Mwenyekiti wao bwana Yusuf Manji
 
hiv ni camera imekaa vbaya au macho ya mtangazaj hayajakaa sawa?
 
Amna asieju jinc wanawake wanavyopenda pesa.......
 
Jamaa amechanganyikiwa hadi anasema Yahya Akilimali badala ya Ibrahim Akilimali. Kweli njaa inavuruga watu
 
Saccos wameishiwa ela za kukopesha sasa, cjui malejesho yatatoka wapi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
 
Back
Top Bottom